Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Wazee wa jalalani walipewa Msaada na LIONS CLUB kufungiwa taa za solar kwenye barabara na mitaa main campus (bure) ukipita usiku hizo taa zimekufa karibu zote kumebaki Giza totoro. Mule ndani...
3 Reactions
7 Replies
325 Views
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu Mmechelewa...
19 Reactions
123 Replies
5K Views
Katika karne ya 19 na mwanzo wa karne ya 20, Ulaya ulikuwa ukielezwa mara kwa mara na wanahistoria kama “familia moja kubwa ya kifalme.” Kwa kweli, majumba ya kifalme ya Uingereza, Urusi...
1 Reactions
3 Replies
313 Views
Je, unajua kwamba bei za huduma nyingi za mtandaoni kama YouTube Premium, Netflix, Spotify, na hata tiketi za ndege au hoteli hubadilika kulingana na nchi uliyopo? Kampuni nyingi hutumia bei...
3 Reactions
10 Replies
519 Views
Haya ni maoni ya msemaji wa jeshi letu la ulinzi, JWTZ; Wanajeshi wanapomaliza mafunzo yao kitu cha kwanza wanachokabidhiwa ni rungu kwa ajili ya kutimiza wajibu ikiwamo kudhibiti vurugu, huku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shauri la kesi ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, linalosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu limeahirishwa tena hadi Disemba 30 baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuwasomea...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Kwanini watoto ambao ni wazaliwa wa kwanza wa Mitume na Manabii kwenye biblia hawakurithi au hawakuwa na baraka za. Wazazi wao au Mungu? Kwa mfano Isaka, Yakob, Yuda, Daudi, Suleiman ...
0 Reactions
4 Replies
229 Views
Meneja Mauzo wa Vodacom eneo la Makambako mkoani Njombe, Elly Mwambene (kulia), akikabidhi kapu la sikukuu kwa mmoja wa wateja wao Sigfrid Lomanus Chaula (kushoto), katika muendelezo wa kampeni ya...
0 Reactions
1 Replies
178 Views
Umeshawahi kutizama hii movie aiseeh Movie hii imechezwa eneo moja linaitwa Seoul liko Korea kusini, humu ndani kuna mtaalamu mzee aa kupiga watu mabanzi ya nguvu 😀😀 anaitwa Man Dong Seok...
2 Reactions
1 Replies
179 Views
Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson, leo Disemba 19, 2025, ameifuta machozi ya familia ya Emmanuel Julius...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
"Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Australia – ~1,671,200 tU (28%) 2. Kazakhstan – ~813,900 tU (14%) 3. Canada – ~582,000 tU (10%) 4. Namibia – ~497,900 tU (8%) 5. Russia – ~476,600 tU (8%) 6. Niger – ~336,000 tU (6%)...
2 Reactions
2 Replies
315 Views
Hii leo Disemba 19, 2025, Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amepeleka nuru kwa Familia ya Anyomwisye...
1 Reactions
1 Replies
246 Views
Nani anayeamua kwamba upande fulani ndo umlipe upande mwingine wakati wote wameumizana ma kutiana hasara.. Kwa mfano sasa hivi kwenye vita ya Ukraine na Urusi je wanajua kabisa kwamba mwishoni...
0 Reactions
4 Replies
169 Views
Kuna mambo mengine kama wanajizungusha tu. Benki zote hutegemea riba kwenye pesa ya mteja. Sasa ukisema hakuna riba itakuwaje?
1 Reactions
17 Replies
305 Views
Baba yake kuwa madarakani muda mrefu na kumuweka jeshini na vyeo kwa umri aliopo na cheo chake ni kama anaishi kwa baba yake nawaza hilo. Kejeli anazotoa kwenye mtandao X ,kudhihaki, kuleta...
0 Reactions
8 Replies
344 Views
Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi, kejeli, ubabe na dharau kwa wananchi wao. Ikifika muda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia...
0 Reactions
2 Replies
142 Views
Hakuna ulichokosa tokea mama yako kawa raisi. Kwa kutajwa tajwa kwako kila matukio yanayoendelea hapa. Umekuwa wa kujificha sana yani kama umejifungia mwenyewe uhuru wako. Hata ukaenda kuishi...
5 Reactions
12 Replies
370 Views
IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka...
1 Reactions
2 Replies
439 Views
Dar ni jiji zuri sana tu lakini kinacho niboa nikifika kwenye huu mji huwa ni Joto,kelele na vurugu yaani nikitokaga Arusha nikifika Dar huwa nachukia sana tu. Mtoto wa mama mdogo alikuwa...
12 Reactions
59 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…