Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo haikuwa siku njema sana kwa treni ya umeme ya SGR ilipopata ajali maeneo ya Ruvu ikielekea Dodoma.. Mungu ni mwema hakukuwa na vifo bali uharibifu mkubwa wa miundombinu Kwa muonekano wa ajali...
6 Reactions
14 Replies
427 Views
Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao. sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
CCM kwa sasa kinachagua watu kulipa fadhila,kuendana muhusika,kukosa dira na n.k. Kama muhusika siku hakitoka nahisi chama chenu ndio kitakuwa mwanzo na mwisho kurudia tabia hii. Mnaona aibu...
0 Reactions
2 Replies
153 Views
Anaandika jonhson✍🏻✍🏻 Kwa jina naitwa jonhson ni mzaliwa wa mkoa wa mara ukuaji wangu umekuwa na mapito mengi ya kuumiza sana. Nilizaliwa miaka 33 iliyopita nikiwa na afya nzuri ila baada ya...
2 Reactions
5 Replies
572 Views
Habarini wana JF Naomba kujua safari ya kwenda Afrika Kusini kwa basi gharama zake kwa aliyesafiri hivi Karibuni pamoja na mabasi yanayokwenda huko. Asanteni
3 Reactions
9 Replies
4K Views
I greet you in the name of Jesus. Kwa niaba ya WANA JF wote walioniomba niwaletee thread juu ya game reserve tulizonazo...
7 Reactions
32 Replies
12K Views
Oy hope mko fiti. Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu. Hebu Leo tupate...
2 Reactions
26 Replies
635 Views
Posts ambazo zinalenga kuwa expose members wenye hulka za kitapeli/kisanii zisifutwe na mods. Hii inasaidia usalama kwa members wengine Wanangu, Vincenzo Jr secretarybird ngara23 Mjusi Sharobalo...
9 Reactions
25 Replies
404 Views
Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko. Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
4 Reactions
16 Replies
425 Views
Yaani cm yangu kama kuna video ina play nusu inastaki haiendelei tena labda nianze tena upya ikiplay ikafika kipande kile kile inasimama tena. Na sio video hiyo hivyo tuu ni kila video nitakayo...
0 Reactions
11 Replies
208 Views
Habari Tanzania ! Napenda niwe mshauri wenu kwa hawa vijana. Ikiwapendeza, anzisheni taasisi mpya kutoka moja kwa moja Wizara ya Fedha iitwe " VIJANA TAIFA BANK". Hii taasisi iwe maalumu kwa...
3 Reactions
15 Replies
240 Views
Wakuu natumaini mko salama, Naomba kuelekezwa Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo zinapatikana wapi, au ofisi zozote za Posta zilizo karibu na Goba. Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dereva gari limemshindwa kila kukicha ni kumtupia lawama dereva aliyepita eti ubovu huu wa gari ulisababishwa na yeye pamoja na wasaidizi wake amesahau naye alikuwa ni kondokta wa dereva mkuu...
17 Reactions
37 Replies
2K Views
Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu...
3 Reactions
5 Replies
230 Views
Bamako, Mali – Nchi tatu za Afrika Magharibi, Burkina Faso, Mali na Jamhuri ya Niger, zimezindua rasmi benki ya uwekezaji ya kikanda yenye mtaji wa awali wa faranga bilioni 500 za CFA, sawa na...
4 Reactions
11 Replies
355 Views
Makonda aliwai endesha ZOEZI LA KUKAGUA vituo vyote vya polisi na kuamua kutengeneza magari yote yaliyokuwa vituoni kupitia. Sheria za private. Na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mnoo! Swali langu...
1 Reactions
3 Replies
238 Views
Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne Waziri kweli unapokea mshahara Ofsini mnaenda kabisa...
2 Reactions
16 Replies
356 Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin Pumzika kwa aman anko magu ...
18 Reactions
102 Replies
4K Views
Nimefika mwanza siku ya NNE sioni taa za daraja la furahisha je zilikufa na Magufuli? Je kigamboni Bado zinawaka? Hata kama hampendi magu tunzeni vitu vyake viwe kama alivyovijnga
1 Reactions
5 Replies
205 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…