Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe.Ghati Zephania Chomete ameipongeza Kampuni ya uchimbaji na ununuzi wa dhahabu "FREGOM LTD" kwa kuibuka kuwa kinara kwa ulipaji wa kodi kundi la "Makampuni ya...
Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi.
Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa...
Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni...
Hili swali nimeuliza mahsusi kwa sababu.
Atleast nchi kama Japan wameipa dunia gari aina ya TOYOTA.
KOREA wameipa dunia products za Samsung
Na hata Russia wameipa dunia AK 47
N K
Sasa sisi...
Kwanini baadhi ya Mitaa imepewa majina ya lugha/kabila afu baadhi ya lugha/makabila hayana Mitaa.
Mfano.. Kuna Mtaa wa Nyamwezi, Sukuma, Swahili n.k
ila hakuna Mtaa wa Kurya, Kinga, Makonde n.k.?
Mshauri wa Sheikh Mkuu Mzee Azim Dewji amesema Krismas mwaka huu itumike kutoa mafunzo kwa Vijana maana Miongoni mwa kazi za Taasisi za Dini ni kutoa Mafunzo ya Maadili mema kwa wananchi kwa...
Kuna makosa mengi kwa sisi tunaojenga au kupanga maeneo.
Kama sehemu ya mwenzako kaweka uzio ambao ni ukuta inatakiwa na wewe kutumia uzio huu kuzibiti vichochoro visivyokuwa na tija.
Sheikh ponda atoa maelezo kuwa Bakwata sio kwa ajili ya kila Muislamu bali ni ya Wasunni tu
https://www.instagram.com/reel/DSpOXVaAhne/?igsh=NHZkYzNjcG5wcm5z
Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini.
Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
Taarifa zilizotufikia hivi punde (leo, Jumatano Desemba 24.2025) zinaeleza kuwa Baraka Chacha aliyekuwa gerezani akishtakiwa kwa kesi ya uhaini amechiwa, na sasa yuko nyumbani kwao Buza Kwa Mama...
Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana...
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku
Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi
Uzuri nakula bia na nyamaa
Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu
Jana...
Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo.
Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za...
Nilivyosema ishu ya maji ilikua ni plan ya kututoa kwenye reli ya D25 mlinielewa?
Nilisema mapema hii ishu, kwamba hakukua na upungufu wa maji wala nini....Maji yalifunguliwa Ruvu yote kwa...
Zingatio 1: Simo katika kabila lolote kwenye hii orodha, sina mgongano wa kimaslahi wa kunifanya kupendelea ama kuchukia makabila niliyotaja.
zingatio 2: kuwa ndani ya haya makabila haimaanishi...
Kila kuitwapo leo naamka saa kumi na moja asubuhi naenda kazini Magomeni ila nakaa Vingunguti kwakuwa usafiri mida ya usiku wa saa tano huwa ni mgumu kupata basi inanilazimu kupanda Gari za...
BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...