Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Timu ya Vodacom Tanzania kanda ya ziwa ikiendelea kusambaza upendo kwa wateja wake kwa kugawa Kapu la Vodacom ikiwa ni ishara ya kusherehekea msimu huu wa sikukuu pamoja na wateja wao na...
1 Reactions
1 Replies
121 Views
Kuna umri ukifika, hasa 38+, ndipo unagundua kuwa mambo mengi yanapoteza maana isipokuwa pesa, familia, na afya njema. Aise hata Kama umekuwa ukijituma maishani kuchangamana na watu sijui ndugu...
11 Reactions
14 Replies
923 Views
Nchi ya Kenya imeingia katika changamoto kubwa ya vurugu za Vijana almaarufu Gen Z yaani ni Kizazi jeuri,Hichi kizazi kinahamasisha vurugu na machafuko,wizi na ukabaji. nadhani ni muda sasa wa...
-1 Reactions
6 Replies
202 Views
Tunaishia kuona ushenzi ndio maana hawataki watu wahoji. Huu mkataba wa kumpa mchina miaka 30 reli ya Tazara na hapo hapo hatufahamu ni mifano tosha kabisa sasa maamuzi ya serikali inaweza...
2 Reactions
7 Replies
209 Views
Be a patient listener (it is this, not fast talking, that gets a con-man his coups). Never look bored. Wait for the other person to reveal any political opinions, then agree with them. Let the...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Inasemekana Mzee Mwandambo ametekwa Kanuni ya watekaji wa nchi ya Afghanistan, ukitekwa ukaachiwa na ukawakosoa ukitekwa tena Kuna zaidi ya 90% ukapotezwa, Hivyo basi Nina wasiwasi kama Mzee...
9 Reactions
12 Replies
383 Views
Mwanaume dhaifu ameketi akiwa amefungwa kwa minyororo ndani ya seli ya gereza yenye unyevunyevu na baridi. Amewahi kuponyoka kifo hapo awali, lakini sasa anatambua kwamba kuuawa kwake kunakaribia...
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Baada ya Donald trump kuzishutumu nchi za Ulaya kwa kukosa uongozi Bora kitendo ambacho kimepelekea uchumi wa bara la ulaya kushuka. Ulaya wamekuja na propaganda za kuzishutumu nchi kubwa Duniani...
0 Reactions
9 Replies
493 Views
Habari za jioni ndugu na marafiki, Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani. Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili...
2 Reactions
58 Replies
2K Views
Nimeona Istagram Mhe. PM akiagiza kukamatwa kwa kijana aliyechukua hati za mama fulani na mumewe ambao wana kampuni yao binafsi kuchukulia mkopo wa Tsh 600m taslimu. PM kasema kuwa huyo mama na...
1 Reactions
11 Replies
278 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema iko siku tatizo la Maji litakuwa historia nchini kutokana na ongezeko la bajeti. Akizungumza jana Desemba 17, kuhusu hali ya upatikanaji wa maji, Aweso amesema...
1 Reactions
6 Replies
368 Views
Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia. Nitatolea mfano wa airport ili muelewe. Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama...
11 Reactions
27 Replies
865 Views
Wakuu nina swali naomba ufafanuzi. Katika team yetu ya taifa ya mpira wa miguu(taifa starts ) kuna wachezaji wageni, kwa information wengine hawajui kiswahili vizuri na inasemekana wengine...
5 Reactions
23 Replies
608 Views
Salaam, Shalom! Palikuwepo manabii wengi Katika agano la kale, mfano Adam, Nuhu, Musa, Elia, Nehemiah, Daniel nk nk. NABII katika Agano la kale na kuishia kwa Yohana Mbatizaji,waliishi maporini...
5 Reactions
122 Replies
4K Views
Sehemu ya kwanza (01) Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na...
15 Reactions
90 Replies
2K Views
Nayib ameweza kushinda mtandao wa unbazilifu, rushwa na magenge uliokuwa unaendesha nchi, ameweza kuitoa el salvador katika list ya nchi hatari duniani kwa kupambana na uharifu vikali. Trump...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
INTRODUCTON. Salaam, Shalom!! (Kutoka 20:12) says: WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO, ILI SIKU ZAKO ZIKAWE NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO. Leo naandika mada hii nikiwa na Sina...
31 Reactions
92 Replies
10K Views
Leo hebu tukumbushane kuhusu vita ya Hamas wa Gaza city na Israel. Kuna vitu tunaweza kuvichukulia kikawaida ila havifanyiki kwa bahati mbaya. Tukiacha kuongelea hiyo vita katika context ya...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Ujerumani vilitokea vifo vya Watu takribani 500,000 je, nchi uliyoko waliokufa juzi kati walifikia hii idadi? Marekani vilitokea vifo takribani 1,000,000 je, nchi uliyoko waliokufa juzi kati...
3 Reactions
23 Replies
473 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…