Wakuu SI niliona Simbachawene hivi karibuni alionya mwenendo wa aina hii ya ukamataji? au ndiyo sikio la kufa?
===
WATU WANAOPIGANIA HAKI WAMEKUWA WANYAMA TANZANIA
Hivi ndivyo Polisi walivyo...
Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo?
Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga,
Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi
=====
Baada ya muda...
Hivi mwandambo ambaye hata waandishi wa habari hawapo yeye anapost kwenye account yake lakini mada zake unaona kutuoa elimu leo polisi wapo naye.
Haya yule ambaye alisema kukata vichwa ,jeshi...
Uhusiano kati ya China na Tanzania umekuwa ni wa muda mrefu tangu Tanzania ipate Uhuru
China imekuwa mstari wa mbele kusahihisha makosa yake ya Kibiashara yanayotokea Tanzania
Kampuni ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter ******* amesema idadi ya watalii wanaotibiwa katika Tawi lao la Oyster Bay Plaza imeongezeka kutoka wagonjwa 10 hadi kufikia...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana
Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa...
Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu.
Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili.
Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
Kwa siku kadhaa kwenye nchi hii nimeshuhudia vita ya kimaneno katika watu wa imani ya kikristo na kiislamu na tena leo vita imechagizwa baada ya yule shekhe barahiyan kusema marufuku waislamu kula...
Hii ni hujuma vijana wa kileo wanayofanyiwa kwa kubabaika na muonekano ili kiuhalisia bado huo ni mlupo na pochi aliyonayo ni hio hio hata zubeda wa silimang'ombe ndani ndani anayo.
Kitendo...
Tazama kwa umakini hio picha hapo juu
Bila shaka umewahi kukutana na logo hii kwenye nguo, kofia na hata mabegi. Hii kampuni inaitwa "Kappa", ni kampuni ya mavazi iliyoanzishwa 1967 huko nchini...
Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za...
Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria.
Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan...
Imebainishwa kuwa asilimia 94 ya majeruhi wa mifupa na ubongo hupokelewa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) masaa sita baada ya kutokea kwa ajali kinyume na viwango vya...
Mimi huwa nawaleteaga matukio ya maisha yangu ya kweli kabisa ili watu mjifunze na kuna mambo muache kuyadharau na uzuri, maisha yangu ukifungua nyuzi zangu zilizopita kuanzia mwaka 2019 hadi 2020...
Barabara ya Inyala - Simambwe yenye Kilomita 16.7 Mkoani Mbeya iliyojengwa kwa kiwango cha lami kwa shilingi bilioni 7.05 ikiwa mwaka wa pili sasa tangu kukamilika kwa ujenzi wake tayari imeanza...
Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu.
Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru.
Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu...
Just imagine mtu na heshima zake anaachia mzigo alafu kwasababu maji yako mbali anashindwa ku flash, hakika hivi vyoo vinaweza kumshushia mtu heshima yake bora vya kuchuchumaa, hivi vyoo ni uchafu...
Ushauri wa bure kwa mwanadada mpambanaji na kwa kiasi fulani ana pesa za hapa na pale Mariam Uswazi.
Mariam kwa alipofikia akubali tu kumuajiri designer wa nguo maana comments za kumponda...