Kama umefika Korea kaskazini, Japan, Malaysia, Taiwan, Singapore, China au tuseme nchi za asia zote mpaka urusi nayo.
Yani wanawake na wanaume wanashindana kwa uzuri kwa kukipodoa.
Sijui kama...
“Wakati huo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu hata chini. Dunia ikatikisika, miamba ikapasuka. Makaburi yakafunguka, na miili mingi ya watakatifu waliokuwa wamelala ilifufuka...
Wadau,
Natumaini mnaikumbuka ile stori ambayo ilitrendi hapa JF kwa miezi kadhaa kuhusu Mtanzania ambaye ni Dereva wa magari makubwa ya mizigo, Juma Ally Maganga (45).
Alikuwa amehukumiwa...
Habari Tanzania !
Nimeweka mfano wa picha kwa msaada wa tehama.
Mnaonaje tukiwa tunavaa hivi wanaume kwa wanawake kama vazi rasmi la utambulisho kitaifa.
Asante.
December 2025
UNEP Yamteua Mwanamuziki wa Rapa mTanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia
by Leo Muzivoreva
Rapa mkali Frida Amani
Shirika la Mazingira la Umoja wa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu Hemed Juma Mrisho maarufu kwa jina la “Horohoro” kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa...
Kwa wale ambao walifanikiwa kuzaliwa katika familia nzuri wakakuta kila kitu kipo, kama walikuwa na akili nzuri ya maisha basi kabla ya miaka 30 wanakuwa wameshamaliza kujitafuta na kuweka msingi...
1.Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani.
2.Mvua...
Vifo vingi vimekuwa vikitokea hapa. Juzi tu, kuna vijana watatu wamefariki maeneo ya uchimbaji maarufu kama Zanzibar. Hali hii ya kusikitisha imesababishwa na baadhi ya wasimamizi wa migodi ambao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Kighoma Malima, kufuatia vifo vya watu kumi katika ajali ya...
Ukistaajabu ya Musa...Arusha Technical College ni kati ya vyuo Bora na vyenye sifa nzuri hasa kwenye swala la ufundi ndo maana serikali imeipa pia jukumu la kufundisha madereva na kutoa vyeti...
[emoji23][emoji23][emoji23] Mbulu hapana aisee kuna mahali panaitwa magara ukitokea bara bara kuu inayokatisha manyara kuelekea dom,mwanza kuna njia ya kuelekea mbulu inaanza na changawawe alafu...
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad...
Naombeni tusaidiane
Unaweza kumsamehee mtu aliyekuibia haki yako ya kupiga kura,na bado akakuulia wanafamilia wako waliokuwa wanadai haki na bado asikukabidhi mili yao akaitupa kama mizoga
Haki...
Ukipita na kusikiliza kinachohubiriwa kwenye makanisa ni juu ya kukemea mapepo na majini wabaya, kuombea wachawi na mambo mengine ya kishirikina
Je kuna uhusiano gani wa moja kwa moja kati ya...
Kiukweli Magufuli alipofariki niliumia sana, lakini pia nilifurahi kuona Tanzania inapata Rais mpya wa kike. Nilikuwa niko curious kujua uongozi wake utakuwaje na nilikuwa na matarajio makubwa...
Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.
Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.
Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari...
Hadi kufikia maamuzi haya ya kutaka kuondoka nchi yangu kuna mambo mbalimbali ambayo kila siku yananipa mawazo.
Mambo yanayonikosea furaha
1. Ugumu wa kupatata ajira yenye mshahara mkubwa.
2...