Siamini nchi ambayo ina jeshi la sita duniani kwa ubora kushindwa kumsaidia Venezuela.
Yaani tulivyo imara kwenye kuvunja matofali tumeshindwa kuwasaidia wajamaa wenzetu?
Naskia huko uvccm...
Hebu angalia muonekano wake kuanzia kiunoni hadi kifuani tumbo limekaa square ⬛ kama dumu la Lita 20 hapa akipokelewa Uwanja wa ndege Chakechake Pemba.
Shida TISS inawachukulia mataifa mengine kama vilaza walivyo wao.Ni tamia neno kilaza kama heshima kubwa kwao.
Mlichokuwa mnafanya kutrace simu za watu ambao mnaona watavujisha taarifa zenu na...
Waislamu 12 walioshinda kesi dhidi ya Baraza la Waislamu nchini (BAKWATA) wamesema kuwa Mufti Mkuu hapaswi kuteuliwa na taasisi moja pekee kama ilivyo kwa sasa, ambapo uteuzi unafanywa na BAKWATA...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii wa TikTok ikidai Msanii wa muziki Shilole kupata ajali ya gari na kujeruhiwa akiwa...
Tuna Mito, Maziwa lakini Maji safi hatuna lohhh Majangaa kweli nchi yetu.
Ni jambo la Aibu tangu tupate uhuru ni zaidi ya miaka 60 bado Wananchi wanahangaika kupata maji safi?
Wakati idara na...
The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi...