Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi...
Naona giza mbeleni na hali inatisha Sana Sana!
Dini inatumika kuisambaratisha Tanganyika😭😭😭
Hili igizo la RC lilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli ili kikao cha Zenji kiende...
Eze 34:2-3 SUV
[2] Mwanadamu, toa unabii juu ya wachungaji wa Israeli, toa unabii, uwaambie, naam, hao wachungaji, Bwana MUNGU asema hivi; Ole wao wachungaji wa Israeli, wanaojilisha wenyewe; je...
Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea.
Ngoja nimwambie:
- Mradi wa...
Wadau, wakati ukiwa kwenye nyumba za kupanga, kuna mambo ambayo ni bora kuyaepuka. Je, unadhani ni yapi? Ni nini kimekushirikisha au kuona kinaweza kusababisha matatizo?
Wacha tuchangie mawazo...
Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza...
Uhuru mliopewa na Uhuru wa makaratasi tu, mkubwa akitaka jambo lake analifanya tu.
Sheria za umoja wa mataifa ni kama zipo tu kuzidhibiti Nchi za hali ya chini.
Nchi kama Marekani ina Sera zake...
Salaam!
Kuna hospitali moja hapa mjini, hospitali hii hutibu watu special,wenye nguvu,
Kuna baadhi wamewahi kuifananiasha hospitali hii na nyumba ya kuhifadhia wafu, sababu kuu ni kuwa, wachache...
Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation.
Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe...
Moja ya jambo la kushangaza ni Msanii wa Hip-hop, Izzo Business kuachia kibao akishusha mistari kuwachana wasanii wenzake waliokuwa hawapiganii haki za wananchi badala yao walirundikana kwenye...
Katika kipindi hiki cha Mwisho wa Siri, tunakutana na Lameck Alute kijana aliyekuwa wakala wa kusajili laini za simu. Akiwa na nia ya kusaidia, alimsajilia mteja mmoja asiye na kitambulisho...
Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Londoni ya manispaa ya Songea amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuanzisha utaratibu wa kuwataka wanafunzi kuripoti shule na mifuko mitatu ya saruji...
Ikitumika Kanuni ya kuwapenda na kuwathamini wenzetu kama tunavyojipenda na kujithamini sisi hakika maisha yatakuwa bora
Dunia ni moja, nyumba moja ya nini kunyang'anyana fito
Hakuna dunia mbili...
Kutoka kwenye jamhuri ya watu wa Facebook
Baada ya Taifa stars kunyimwa penalti
Hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa
Wake Dansa Queen Fraison maarufu Bonge la Dada