Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo.
Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake...
Ifike mahali kelele za kila siku ziishe
Too much is harmful
Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi wanafuata maelekezo yenu
Mkisema nchi itulie basi itatulia
Mkisema iwake basi itawaka
Ninyi ndio...
Nauliza tu. Maana kuna vijana waliozaliwa 90 na baada ya kuzaliwa wakasikia Alqaida na wengine huko mashariki ya kati wakaaza kuwasema vibaya waislam na kuanza kuona kama ndio tatizo.
Wengi...
Kumekuwa na utaratibu mbovu wa mamlaka ya maji Mtwara (MTUWASA) kukata maji mchana na kuyaachia usiku wa manane muda ambao Wananchi tumelala, hali ambayo inatufanya badala ya kupumzisha mwili...
Kwa uelewa Wangu kuhusu Mungu.
Namtafsiri Kama mwenye UPENDO huruma na UTU. , hii nadharia kuwa atachoma watu wenye dhambi naona Kama ni UONGO.
Kwakuwa sisi Binadamu tupo dhaifu , kwenye...
Kwa Tanzania tuna misikiti Mingi na makanisa mengi Sana .
Na ukiangalia idadi ya watu wanaosali bado ni Chache Sana .
Ikiwa tutaangalia mahitaji hasa ya jamii tunaweza kubadilisha matumizi ya...
Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi.
Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu...
Njaa inawafanya watu kuwa machawa promax totally mtu akiwa chawa hua anaupungufu fulani wa kiakiri maana yeye huwaza pesa tu.
Ninasikitika kwamba serikali hii ndio serikali ya mazwazwa kuliko...
YAH: MALALAMIKO YA KUULIWA MTOTO WANGU DICKSON TADEUSI SULUSI NA ASKARI WALIOKUWA DORIA TAREHE 31/12/2025 USIKU.
Husika na mada tajwa hapo juu, Sisi wanafamilia ya marehemu Dickson Tadeus Sulusi...
Kwa kifupi Lithium ipo Kilimanjaro, Uranium pale Namtumbo.
hivi hamjui kwamba mkijifunga mkanda nyie wenyewe matumizi yenu na ma v8 yenu semina, warsha, kongamano safari za nje, malipo HEWA...
Mwana Mama wa kizungu Ammie Bock 44, amefilisiwa hela zote kwenye account zake USD million nne.
Amri hiyo ya mahakama imefreeze account zake zote.
Ammie Bock ni miongoni wa washuhutumiwa wengi...
Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic
Najaribu tu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar.
Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano...
RC Chalamila amefafanua kwa kina sakata la kukamatwa kwa fedha taslimu shilingi bilioni 6 zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa China, akisisitiza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa ili...
Leo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka...
Ushoga husababishwa na sababu kuu 2.
1. Sababu za kimazingira
Hapa tunagusa tabia za wazazi kuwalaza kitanda kimoja watoto wa kiume waliobalehe na wasiobalehe. Balehe inakuja kwa nguvu hali...
Habari za weekend wadau,
Waisilamu bwana yesu asifiwe wakristo asalam alaykum marry chrismass na happy new year to all of you.
Kila mwaka huwa naleta vitabu nilivyosoma na mwaka huu ndio nimesoma...