Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini...
Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC.
Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake.
Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda...
Mara na Kagera mara nyingi hutajwa kama mikoa yenye wasomi wengi, lakini madai hayo huenda yalitokana na vipimo vilivyozingatia kundi dogo sana la wasomi wa ngazi ya Maprofesa. Katika kipindi...
Dar es salaam kukaa siku 9 bila maji ni mtihani mkubwa sana sijui dawasa wanatuonaje sisi wakazi kimara
Kukaa siku 9 bila maji hata ile ratiba mgawo haina maana
Watu wanahangaika kupindua...
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
Ile dhana iliyojengeka ya kuwa andaa watoto wa kike kuwa omba omba imetuharibia kabisa kizazi cha sasa na kuongoza idadi ya singo mother na kupelekea kuwa na kizazi kisicho jua umuhimu wa baba...
Nimegombana na mwanamke sababu anataka tumpeleke mtoto shule na mm nimemwambia mtoto mpaka afikishe miaka 4 ndo tumpeleke.
Je Kuna hasara gani naipata nikimchelewesha mtoto shule? Nafaida gani...
Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira, na hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo Wananchi tunaumia.
Hapo juu kuna picha nne, ingawa nimeziunganisha...
Salam wakuu. Bila kuwachosha
Kwa miongo kadhaa nimekuwa mtumiaji wa simu za hii kampuni ya Tecno
Binafsi sijaona tatizo lolote kama inavyosemekana
Kipindi flani niliwahi kununua simu ya...
Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya...
Wadau, hebu changieni kama mnajua kuna nchi yoyote Barani Afrika ambayo hawachukui Kodi ya Mapato kwa washindi wa Sports betting, Casino Gambling, Online Gambling na kadharika. ?
Je wewe unalipa...
Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook...
1. Nilikuwa nashindana na kiongozi mkubwa tukiwa tumekabana kama tunapgana mieleka kwa muda mrefu sana mpaka nikamshinda akaenda kwa mwenzie akawa anamwambia kweli kapoteza pambano, je ni nini...
Si ndani wala nje ya nchi ila wasanii wanaishi maisha ya sanaa.
Marehemu ruge respect sana kwa kutuambia ogopa mungu na teknolojia.
Hii ilikuwa mwaka 2021
Hiko hivi Sababu kuu nyuma ya ugomvi wa U.S. na Venezuela ni Mafuta.
Venezuela ina akiba kubwa ya mafuta duniani. Malighafi hii ni nyingi sana kwa uzalishaji wa bidhaa za wese (hasa kwa ukanda wa...
Waungwana,
Yule mpenda ligi (mashindano) na walio majuu Issa wa Michuzi kwa mara nyingine tena ameweka huu mjadala huko kwenye Blog yake. Nasema ni mpenda ligi kwa sababu kila kukicha hupenda...