Sisi Wakazi wa Lugagala tunanyanyasika sana ikiwemo kufanyiwa fujo katika mashamba na makazi yetu ya asili. Mpaka wa Vijiji hivii umekuwa kero kwa Watendaji wa Halmashauri Wilaya ya Songea.
Licha...
Siku ya Mwaka Mpya, watu walikamatwa wakiingia Kanisa la Ufufuo na Uzima Ubungo wakiwa na bastola. Kanisa hilo ni mahali anapohudumu Askofu Gwajima. Tukio hili linatokea wakati ambapo kumekuwepo...
Uislamu wa Majini na Historia Yao Kabla ya Mtume Muhammad ﷺ
Katika Qur’ani na Hadithi, kuna maelezo yanayosema kuwa majini waliumbwa kabla ya binadamu, na walikuwa na uwezo wa kubeba dini na...
Wakuu nauliza huenda mwaka huu kabla ya pasaka nikawa visiwani kwa wala urojo mimi na wife hivyo nahitaji kujua nauli ya mtu mmoja mwanza to Zanzibar ama Zanzibar to Mwanza nauli ni sh ngapi...
Watu wameanza kujenga tena kwenye road reserve 30 meters from the center of the road on each side.
Wanauziana wakiambiwa kuwa zilipo nguzo za umeme ndiyo mwisho wa road reserve. Kuna wanaosema...
Wakuu. Teknolojia inazidi kukua Kila kunapokucha
Kama ilivyo kwa Whatsapp mtu akiwa na namba Yako anaweza kuona picha Yako
Je Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako inaweza kumletea jina lako...
Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu...
Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha.
Akisikia Iran kuna vita...
Kuna tukio la kusikitisha lilitokea mtaani kwangu. Kijana wa form five alikuwa anamlawiti mdogo wake wa kike wa darasa la sita (Mtoto wa mama yake mdogo anayelelewa na mama wa huyo kijana)...
13 jan 2026
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani
1.Lala mapema
2.Amka mapema
msimulizi
3.Soma kitabu atleast 20dk/siku
4.Fanya mazoezi kila siku...
SALAMU ZENU??
Hii thread ni ndefu ila we isome tu uimalize kwa manufaa yako
📢📢.HAYA kwa zaidi ya miaka 17 niliyokuwepo Jamii forum nimejifunza mambo mengi sana, nimekutana na mawazo ya kila...
Wakuu, heri ya mwaka mpya!
Naenda kwenye mawazo yangu, moja kwa moja.
Nafahamu fika, nyakati hizi, watu wengi, kutokana na sababu mbalimbali, hawanunui na kusoma magazeti! Sasa najua hata issue...
UFAFANUZI KUHUSU HITILAFU YA MTANDAO ILIYOATHIRI UTOAJI WA HUDUMA.
Dar es Salaam: Tarehe 13. 01. 2026
Leo tarehe 13. 01. 2026 ilitokea hitilafu ya kifaa cha mawasiliano cha mtoa huduma za...
Shabiki wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Michel Kuka Mboladinga maarufu Lumumba, amezawadiwa gari aina ya Jeep na Rais wa nchi hiyo, Felix Tshisekedi, kwa kuitangaza...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni...
Kitu gani ulifanya mwaka uliopita kikavuruga kabisa mipango yako ya mwaka 2025 na hutamani mwingine akosee kama wewe
Funguka kuna mtu anaweza jifunza kupitia wewe
Kampuni ya ushonaji nguo ya Mbogwe Nsoga imewafariji wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kuwapatia zawadi ya nguo.
Faraja hiyo imetolewa leo Januari...
Nyota wa YouTube kutoka Marekani, IShowSpeed, amefutia ratiba ya ziara yake nchini Namibia kama sehemu ya safari yake ya “Speed Does Africa”, baada ya mamlaka za anga kushindwa kutoa vibali...
Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli...