Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani...
3 Reactions
20 Replies
914 Views
Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia...
4 Reactions
3 Replies
256 Views
Yuko wapi mtoto wangu? Wiki mbili baada ya kutokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Tanzania, mama huyu bado anamtafuta mtoto wake anayedai kuwa alikamatwa na vikosi vya usalama. Vijana wengi waliuawa...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
ONYO: Maudhui ya kutisha. BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania. Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo...
22 Reactions
66 Replies
3K Views
Binafsi Kwa hotuba ya Rais Samia naona ni yule yule wa Jana na Sasa situation itakuwa worse 1. Hotuba ya Rais Kwa maksudi haijakemea ufisadi na Rushwa. Nadhani Cancer kubwa ya taifa hili ni...
5 Reactions
6 Replies
342 Views
Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa...
2 Reactions
25 Replies
732 Views
Anaandika Malisa GJ kupitia ukurasa wake wa Instagram: Hii ni tarehe 31 Oktoba. Hawa vijana wamesimama nje ya geti nyumbani kwao. Hawapo kwenye maandamano, wanapiga tu story, wendawazimu...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
"Hili sasa limekuwa somo kwamba kumbe kwa mwanadamu lolote linaweza kutokea hivyo ni vizuri sana kwa wakati tuliokuwa nao, viongozi wetu, Serikali, Taasisi zisizo za kiserikali na wananchi kwa...
1 Reactions
7 Replies
249 Views
Wafanyakazi na wadau wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) waliovamiwa usiku wa jana katika Hoteli ya Whitesands wameeleza hali halisi ya tukio hilo kuanzia lilipotokea hadi leo...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
Nchi hii kuna mambo tunapoelekea tunaitafuta vita mbaya ambayo hawa watu watakuwa sio raia wa nchi yetu nacho kiona kama mange kimambi anavyotuelea kuhusu mtoto wa samia sasa ni raia wa waarabu...
6 Reactions
6 Replies
343 Views
video zilizothibitishwa na #NationForensicUnit ya nation zimethibitisha maeneo kamili ambako vikosi vya usalama vya Tanzania, wakiwemo baadhi waliovaa nguo za kiraia, walitumia nguvu kupita kiasi...
10 Reactions
15 Replies
708 Views
Kupitia ukurasa wa mtandao wa instagrama Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa taarifa ya kuhusu wafanyakazi wake kuvamiwa jana Novemba 12, 2025 wakati wakiendelea na majukumu yao...
6 Reactions
20 Replies
955 Views
Akizungumza mara baada ya jina lake kupitishwa rasmi na Wabunge kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchema amesema kuwa anatambua uzito wa majukumu yaliyoko mbele...
5 Reactions
12 Replies
604 Views
Nina furaha sana leo kuona ndoto za Rais wa mawe kua Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania zimezimika rasmi leo, apambane na hali yake miaka hii mitano, apumzike siasa akale alichotuibia sasa...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Maandamano yanakuja na mengi ili kufikisha ujumbe mda mwengine.Kwangu mimi nimefatilia matukio mengi japo sikutaka kuchukua matukio nikiwa kazini kwa yaliyotokea october 29 ila nilichokiona kwa...
4 Reactions
6 Replies
724 Views
Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani Uchambuzi wa...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Tunampongeza kwa dhati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Dkt. Mwigulu Nchemba kushika wadhifa wa juu kabisa wa kiutendaji – Waziri Mkuu wa Tanzania. Uteuzi huu unaonesha...
-1 Reactions
6 Replies
280 Views
Ilikua siku ya tarehe 30 October tukiwa tu mtaani kwetu Kimara Suka karibu na kanisa katoliki la Mavurunza. Mimi nikawa nimetoka kwenda kwa Mangi shop kununua bidhaa fulani. Kabla sijafika pale...
23 Reactions
50 Replies
1K Views
Back
Top Bottom