Kuna Nyimbo Moja Ikipigwa Bar Madem hua wanapagawa mno ,Pale Ndani inakua ni mwendo wa Vilio Sijui hua wameachwa.😂
Inaimbwa hivi.
Koma kunichokonoa
Kunifatafata
Kuna muda vinaboa
Aku utanitia...
System yao imekua mbovu sana week hii, na hata ulinzi wa pesa zenu mnaoweka huko ni mdogo sana!
Tokea jana mtu unaweza kuangalia salio la halopesa bila hata kuweka PIN, yani unaangalia tu kama...
1. “Usilie… kuwa mwenye nguvu.”
Sababu kwa nini haifai:
Kumlazimisha mtu asilie kunazuia mchakato wa asili wa kuomboleza.
Huzuni ni sehemu ya uponyaji, na kuizuia huongeza maumivu ya ndani...
Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye...
Habari ndugu zangu wapendwa!
Hii mada inaweza isieleweke kwa baadhi ya watu!
Wengi wakisikia neno umeme wanawaza mitambo, nguzo, waya, transfoma n.k kwakweli vyote hivi hivi siyo Umeme!
Ukweli...
Maisha sasa hivi Sweden na Finland kwa wahamiaji (Foreigners) ni magumu sana kupita maelezo.
Kuna njaa kali sana na hii serikali zao zinafanya maksudi kwa kubana na kukaza ili tu kuzuia...
Kuna maswali ambayo najiuliza
Mwanzo na mwisho ndugu yangu tulikutana mwanza
Alivyofika nairobi ndugu zake na mke wake
Sasa familia yangu wamenitenga
Dar es salam ndiko mke wangu anaishi
Mimi...
Kumekuwapo wimbi la vijana kupeana motisha za ajabu; mara siku hizi hatari kubwa kwa vijana Tanzania si kukosa ajira bali ni kukosa skills, mara AI ndiyo future na vijana wawekeze katika kujifunza...
Mizizi ya Kipagani ya Ukristo wa
Baraza la Nikea (mwaka 325 BK) halikufafanua mafundisho ya Kikristo yaliyokuwepo tayari bali liliunda mafundisho mapya.
Baraza hilo liliitishwa na kuongozwa na...
Jamani nahitaji msaada wenu.
Hivi karibuni nimepima kilo zangu nikawa nina kilo 86, nikasafiri kwenda mkoani kwaajili ya sikukuu kila ninayekutana naye ananiambia kuwa nimekonda!
Jamani...
Serikali (Haramu) imetangaza mlango wa Bima ya Afya kwa wote, ambayo itaanza Januari 26, 2026. Gharama yake ni Tsh. 150,000 kwa kaya. Kuna baadhi ya wadau wanaona gharama hii inaonekana ya juu...
Naomba niende kwenye mada husika kwa kuwaelekeza kwenye mifano halisi.
Nachukulia mfano Baraza la ardhi wilaya la Arusha ambapo migogoro ya ardhi imetamalaki na haiwezi kwisha kwa sababu migogoro...