UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna...
Vitu Muhimu vya Kujiandaa Nyumbani
1. Vyakula
Mchele
Maharage / kunde
Unga wa ugali / ngano
Sukari
Chumvi
Mafuta ya kupikia
Mboga zinazoishi muda mrefu (viazi, vitunguu, karoti)
Dagaa
Jaza...
Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia...
Nimeona nishee huu ujumbe, nimeupata mahala...hii ni kwa yeyote yule mwenye mpendwa wake anaeshikiliwa kutokana na vurugu za uchaguzi....
Uza kitu chochote! chonde chonde!
NARUDIA!!!
Uza hata...
Habari zenu ndugu zangu wana Jf.. kama mada inavyojieleza hapo hebu naombeni mnipe mbinu...mimi si mzuri kwenye kuandika ila natumaini mtanielewa nahisi kuchanganyikiwa nahisi kukata tamaa sijioni...
Sada Alfani, Mfanyakazi wa Kampuni ya Kuuza Mafuta ya Lake Oil amejikuta akimwaga Machozi mara baada ya kupoteza Kazi kutokana na Kituo hicho Kuchomwa Moto kufuatia Vurugu za Oktoba 29.
Sada...
Kuna mambo mpaka leo sielewi ndugu zangu, hivi hao waliokua wanashoot watu tarehe 29 na 30 walikua na mioyo ya namna gani?
Na cha kushangaza hakuna kiongozi wa serikali aliyelaani wala...
Nimekusikia ukisema Yesu asifiwe na tumkutuze Yesu. Hii pale upotoa salamu ktk mazishi ya mtei.
Unapokua muislamu kuna miiko ya maamkizi popote pale na ktk shughuli yoyote ile.
Muislamu hutakiwi...
Sheria ya data protection inahusu watu gani?
Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu...
"Nina degree ya chuo maarufu lazima niajiriwe tu, ngoja nisikilizie kwanza hapa kwa shemeji"
"baba ana pesa nitakaa nae kufanya nae kazi alafu mwishoni lazima anipe mzigo wa kutosha"
"kwanza...
Nishati (energy) ndiyo mhimili wa uchumi wa nchi. Mataifa makubwa kama Marekani hutafuta nishati kwa nguvu kubwa kwa sababu yanafahamu umuhimu wake. Modern geopolitics ipo centred around energy...
Yaliyofanyika mtaona mengi ndugu zangu kama ICC na documentary zikitolewa mnaweza kutokuwa wapole kwa haya ya utawala wa CCM wauwaji.
Watu wamekufa kwa tabu wakijiona na wengine walipelekwa...
1. School Won’t Make You Rich — But School Is NOT a Scam
Shule haikubuniwa kukufanya uwe tajiri.
Shule ilibuniwa kukufanya uwe mtu wa kawaida mwenye nidhamu, uwezo wa kusoma, kuandika na...
Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Habarini
Nashauri serikali iongeze nguvu kazi katika kuzuia maandano ya D9 kwa kuchukua walimu hawa ni cheap labor na watiifu mno mafunzo ya wiki pia yanawatosha maana kiasili tayar wanaroho...
29 ilikukuta wapi, ulirudi vipi nyumbani
TAHADHARI: Naomba tusitaje maeneo ili kuepuka kuwapa maadui nafasi ya kujua mbinu.
Nakumbuka baada ya kujitokeza kwenye maandamano na kuandamana hadi...