Watu wengi wamekuwa wakiishi maisha yao kwa kuongozwa na mwili pekee. Si kwa sababu wao ni wabaya au hawana akili, bali kwa sababu mfumo wa dunia umetufundisha kujiamini kama miili, si kama nafsi...
Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh!
Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye...
Baada ya October 29 kwa kweli watu hawana tena mzuka na mpira. Nipo kwenye group lina watu 237 si jana, juzi wala leo watu hawajapost habari za mpira. Ni muda sasa hizi teams zinacheza hakuna...
HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO
Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima.
Tunapozungumzia uzazi...
👉Wanafunzi wengi nchini hasa kutoka kaya masikini hujiunga chuo kikuu Cha Dodoma UDOM sababu ya ada nafuu na ukubwa wa chuo hiki, japo asilimia kubwa gharama za maisha Jijini Dodoma kuwa juu...
Wakati Waziri Mkuu Mwigulu alipotoa Kauli ya kwamba anaon namba E za magari zimejaa mjini na kuashiria kuimarika Kwa bipato na Uchumi wa watu ,Kuna watu wanaopenda kuona Nchi inaanguka walimbeza...
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania unatoa pongezi za dhati Kwa Wakili Onesmo Olengurumwa kwa kutajwa kuwa miongoni mwa wagombea bora duniani katika nafasi ya Mshauri Maalum wa Umoja wa...
Hizi ajira zao zilitangazwa mnamo mwaka jana mwezi wa nane (Agosti 2024) mpaka kufikia leo mchakato wake haujakamilika.
Tukiangalia taasisi kama Tanapa, Uhamiaji, Polisi pamoja na Magereza...
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni...
Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua.
Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na...
Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya...
Inashangaza sana nimejaribu kuangalia lile Bonge (bunge) la ile inchi ya kusadikika yaani hakuna anayeongea la maana hata moja , kunzia mwanzo hadi mwisho jitu linamsifia Killer in chief tu...
Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka...
Jina la Quran na Biblia tumetohoa toka lugha zake za asili. Ni kawaida kwa mambo haya ya lugha.
Jee Kwa kiswahili hivyo vitabu vinatafsiriwaje. Neno Biblia na Quran kwa kiswahili ni nini?
"Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka...
Napenda kushirikisha hali halisi inayowakumba wananchi kwa sasa kuhusu huduma ya uzazi wa mpango – hususan kupandikiza kijiti (implant) katika hospitali za serikali.
Mke wangu alifika hospitali...
Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau...
Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na...