Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za mida hii wakuu natumai mko salama Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔 Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto Ya Mungu mengi kwa...
14 Reactions
159 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Naomba mnipe connection ili niweze kuhama kutoka halmashauri ili nihamie halmashauri x maana naona mfumo wa Ess sina hakika kama itaweza kunisaidia mimi kuhama kama kuna mjuzi wa...
2 Reactions
21 Replies
454 Views
  • Redirect
Vijana wana msongo, stress na utoto mwingi. Unaweza kuta mtu humu kuanzia saa 12 hadi usiku saa tano ni matusi na kejeli, khaaa Afya ya akili ni real issue aisee
3 Reactions
– Replies
– Views
Its funny ni namna gani itikadi za kulazimishwa kwa watu zinavyoweza kutengeneza historia mpya katika jamii kwa kukufanya ukane asili yako kwamba asili yako sio ya hadhi na upokee asili mpya...
1 Reactions
7 Replies
207 Views
Kwa mujibu wa Sheria ya Afya ya Jamii ya mwaka 2009 (The Public Health Act, 2009) kifungu cha 152(1) kinaelekeza kuwa wafanyakazi wote wa salons za kike na za kiume pamoja na massage parlours...
4 Reactions
14 Replies
518 Views
Ni habari iliyotikisa wengi, wengine wakacheka kwa uchungu na wengine wakashika vichwa: Chuo cha Arusha Technical College (ATC) kimetangaza kuwa hakutakuwa na sherehe za mahafali kwa wahitimu wa...
3 Reactions
14 Replies
377 Views
Anonymous (54df)
Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake. Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa. Hawa wana vikundi...
1 Reactions
2 Replies
241 Views
Hali ya maji Ubungo ni mbaya sana na DAWASA wapo kimya, hawatoi solution kwa Wananchi, kuna baadhi ya maeneo wiki ya nne sasa hatujapata maji, wenzetu wa Mabibo Makutano - Mtaa wa Kanuni nao ndio...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/...
2 Reactions
16 Replies
665 Views
Anonymous
Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo. Makaburi...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Barabara ya Arusha - Moshi mwaka jana ilikuwa inafanyiwa ukarabati maeneo ya KIA, King'ori na Kikatiti. Ukiangalia maeneo yaliyokarabatiwa sio yale yenye mashimo sana na kuna maeneo walikarabati...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
2 Reactions
13 Replies
333 Views
Hawa wote ni wasomi waliosoma vyuo nje ya mkoa na elimu imeweza kuwasaidia, Kwa mamlaka waliyonayo waki team up sioni kinachoshindikana kuleta chuo kikuu ndani ya mkoa ili wanasingida wengi zaidi...
0 Reactions
24 Replies
461 Views
Habari wadau Mi mpaka sasa kuna jambo linanistaajabisha sana In my experience from primary school up to in this life realities watu wakimya wise and calmed hawa ni watu rare mno kuonana nao...
7 Reactions
13 Replies
329 Views
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amesema hatavumilia tabia ya baadhi ya madaktari wa hospitali za Serikali kuwaelekeza wagonjwa kununua dawa kwenye maduka binafsi. Amesema akimtaja daktari...
2 Reactions
21 Replies
637 Views
Umoja ni ujasiri mali za watu hazina siri kama haupo tayari kuumiza akili jiandae kuumiza mwili, yatakapo kuja usiseme, ooh nipeni dili imani yako nauli kwenye hiyi safari
3 Reactions
6 Replies
167 Views
Wakatoliki wampongeza Baba Mtakatifu Papa Leo XIV baada ya kufikia hatua za kuwasilisha ombi la Tanzania kufungua ubalozi wake Nchini Vatican pamoja na kuliombea Taifa amani Pongezi hizi...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
"Ramadhan Cup ni ukosefu wa adabu, ni ukosefu wa adabu, maanake hawa Ramadhan Cup wakitoka kwenye Ramadhan Cup watakwenda Ijumaa Cup, watakwenda masahaba Cup hawa, watakwenda Adhuhuri Cup...
2 Reactions
4 Replies
211 Views
Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
6 Reactions
70 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN. Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…