Chama cha Madereva wa Malori Tanzania, (TATAMATA) kimetoa siku mbili kwa Serikali kushirikiana nao kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Godlove Materu , la sivyo madereva wote wa chama...
Mmoja wa Mtangazaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi cha EFM, Fatma Likwata akizungumza katika kipindi hicho, ameonesha mashaka juu ya tafsiri ya neno “mawinga” iliyotolewa na Rais Samia Suluhu...
Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika
Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha...
Ubalozi wa Somalia nchini Tanzania unatarajiwa kuzindua rasmi makazi mapya ya Balozi yaliyojengwa hivi karibuni.
Hatua hii ni sehemu muhimu ya mkakati unaoendelea wa Wizara ya Mambo ya Nje wa...
Hosea 3:3 NENO
[3] Kisha nilimwambia, “Utaishi nami kwa siku nyingi, hupaswi kuwa kahaba au kuwa na uhusiano wa karibu na mtu yeyote, nami nitaishi na wewe.”
Hili lilikuwa agano la Hosea na mke...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na Mbunge wa Jimbo la Chamazi, Mheshimiwa Abdallah Chaurembo, madiwani na Wenyeviti wa Mitaa 22 kutoka kata za Charambe...
Washia ni sect katika Uislamu iliyo smart, ni 20% tu kwa idadi ya Waislamu ambayo ni 1.8 bilioni duniani.
Asilimia kubwa ya wasuni sio wasomi, wana elimu ahera tu ambayo ndio wanaikazia hasa...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji...
Habari za jumapili wakuu,
Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa.
Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya...
Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na...
Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja...
Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi...
Habari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu...
Muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kukiri kumshikilia, Godlove Materu, wakili wake, Aloyce Komba amelihoji Jeshi la Polisi maswali matano, akisema taarifa hiyo:
Soma pia: Madereva...
Wananchi wa Kijiji cha Mayenje, kilichopo Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga (DC), hatuna huduma ya maji safi kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu.
Chanzo cha tatizo hili...
Ndugu zangu, hali ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, imekuwa ya kusikitisha sana, tangu mwezi wa 11, 2025 mwanzoni baada ya...
1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana...
Sijui ni nani aliwadanganya baadhi ya wazazi, hasa wale waliotoka kwenye familia duni, kwamba mara tu wakipata vijisenti basi watoto wao hawapaswi tena kufanya majukumu ya kujitegemea wala ya...