Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Hizi ngoma mbili kwangu binafsi nazipa siti ya mwanzo ya kuwa timeless club bangers. Moja ni ya masista wawili Brick & Lace - Love is wicked Na nyengine hii ya breezy -yeah 3x * Tiririka...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
π™’π™„π™ˆπ˜½π™Š : BLESSURE D'AMOUR {π™…π™šπ™§π™–π™π™– 𝙑𝙖 𝙒𝙖π™₯π™šπ™£π™―π™ž} π™ˆπ™’π™„π™ˆπ˜½π˜Όπ™…π™„ : MADILU SYSTEM :1993 π™π˜Όπ™π™Žπ™„π™π™„ : SULE MKANDARASI ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ π™’π™žπ™«π™ž...π™’π™žπ™«π™ͺ...π™’π™žπ™«π™ͺ...π™‹π™žπ™£π™™π™ž π™¬π™žπ™«π™ͺ π™ͺ𝙣𝙖π™₯𝙀π™₯π™žπ™©π™žπ™‘π™žπ™―π™– π™ͺπ™£π™–π™¬π™šπ™―π™– 𝙠π™ͺπ™Ÿπ™žπ™ π™ͺ𝙩𝙖...
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Wakuu Tofauti na mitandao mingine ya kijamii nimeweza kujifunza mambo kupitia story za kweli humu JF, kama story za BM X6 INSIDER MAN LWANDA MAGERE Analyse UMUGHAKA13 Lakini naamini JF ni mtandao...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajamii, natafuta Cassette tape au Kanda za kwaya za zamani kama: 1. Tumaini Shangilieni kwaya - Arusha 2. Barabara ya 13 - Uliyankulu 3. Mtoni Evangelical choir - Lulu 4. Kwaya ya...
2 Reactions
3 Replies
529 Views
MTEULE UTANGULIZI Mfalme Efroni alikuwa mtawala wa nchi ya Nahori. Mfalme huyu alimuoa binti wa mfugaji aliyeitwa Raheli na kujaaliwa kupata watoto kumi na wawili. Wote wa kike. Aliipenda sana...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
RIWAYA; KAMANDA WA ZAMU. NA; BAHATI K MWAMBA. WHATSAPP; 0658564341. 1. Alikuwa akitetemeka mwili na roho, jasho lilimmwagika hadi kwenye ncha za vidole vyake vya miguu na...
7 Reactions
26 Replies
6K Views
Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na...
0 Reactions
7 Replies
627 Views
Wakuu habar za jion Kwa wale wapenzi series Kuna series inaitwa silo, hii series mm nimefanikiwa kuiona season 1. Hii series ni nzuri sana, Sasa nataka kufahamu Kama season ya 2 imetoka au la.
0 Reactions
7 Replies
567 Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha huyu msanii chipukizi anayefanya vizuri kwa sasa komredi Ali Kiba kutojua maana ya jina FALLEN ANGEL na linavyotumika. Hakuna namba yoyote unaweza kumwita binti...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Ferdinand Shayo, Manyara. Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi yenye makao makuu yake Mjini Babati Mkoani Manyara ya Mati Super Brands Limited imesaini mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi...
1 Reactions
3 Replies
766 Views
Habari za leo wakuu, Yes, kwa wale wadau na wapenzi wa burudani nimeleta jambo hili mbele yenu muweze kunishika mkono au kunionesha njia, nashukuru Mungu nimezaliwa na vipaji mbalimbali lakini...
2 Reactions
6 Replies
455 Views
Husika na kichwa cha barua hapo juu.. Sorry ni kichwa cha habari hapo juu... Natafuta movies hiyo pendwa inayoitwa grey's anatomy kuanzi series ya 3 mpaka 20 kwa ambaye atanifanyia mpango...
2 Reactions
14 Replies
801 Views
Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha...
2 Reactions
7 Replies
399 Views
Hii kama umeshasikiliza hii nyimbo vizuri, ni kama jamaa kaiba kwenye nyimbo zetu za zamani sana. Sasa kila nikijaribu kuzivutia kumbukumbu hapa nashindwa kukumbuka zilikuwa ni nyimbo za nani na...
1 Reactions
5 Replies
465 Views
Najua Jamiiforums hakishindikani kitu. Kuna wimbo mmoja alikuwa anaupenda sana kuusikiliza mpangaji wetu marehemu mmoja hivi mlevi mlevi. Ni wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno...
4 Reactions
13 Replies
715 Views
Kuna mtu yoyote anaweza kujua Mondi logic yake ni ipi kusema zombi siku hizi hizi beat hazipigwagi.. Ni beat gani Hizo maana kama ni amapiano ndo Kwa sasa kipenzi cha ma teenage na Wao wanafanya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kusikiliza vipindi mbalimbali vya radio bongo. Watakubaliana nami kuwa beats za hizi ngoma za hip hop mbili - Tatu bila ya Tmk wanaume halisi na - Still ya dr dre...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani Niambie wako...
5 Reactions
100 Replies
9K Views
Binadamu by AY featuring Maurice Kirya This is A.Y from Tanzania, Maurice Kirya and Hamdee from Uganda. It’s a dedication to all African who living in poverty. Verse 1 Usiombee mambo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…