Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hit Maker wa Pombe Yangu na Tema Mate Tuwachape leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo kuhusu mjengo wake ambao ipo Mbezi ya Kimara eneo la Kimara Mwisho ambalo kwa maelezo ya Madee...
3 Reactions
53 Replies
18K Views
Je unamkumbuka Monica Lewinsky mwanamke aliyawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa Rais wa Marekani Bill Clinton na kusababisha Rais kupigiwa kura ya turufu ya kutaka kumwondoa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa na watu wengine kama Jose...
0 Reactions
59 Replies
14K Views
PICHA HII KAIWEKA DIVA KATIKA UKURASA WAKE NA KAMTAG BOB JUNIOR KATIKA PICHA HIYO JE NI KWELI DIVA ANATOKA NA BOB JUNIOR???? Yetu Macho
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari wana JF. Nakaa natafakari tuzo 7 alizopata Diamond, ukweli ni kwamba My Number One imempa Diamond mafanikio sana ameweza pata tuzo hizo kwa sababu ya ya huo wimbo, pia ameweza kuvuka...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Michelle Obama Bring Back Our Girls Campaign First Lady of the United States Michelle Obama says "Our prayers are with the missing Nigerian girls and their families. It's time to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kajala Enjoys Business trip ndani ya business class ooooh awesome , big girls do big things.....'Says Sintah not Me...!!!
0 Reactions
78 Replies
12K Views
Photos: Nicki Minaj stunning on set of wine beverage commercial The rapper looked sexy in a peach Norma Kamali two-piece & Gucci heels, on set of her commercial for Myx Fusion, the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF hapa mlimani city kwenye Kili Music Award Mpoki ni noma Anashushua sana watu mpaka wengine wanaona noma mbele ya kadamnasi. Mzee Yusuph mziki haachi ila anaoa tu, ni maneno yake na...
1 Reactions
253 Replies
44K Views
kuna yule jamaa alipanda kuperform kwenye KTMA jumamosi alikuwa akiongea kichaga mara akaimba kiarabu nlimkubali sana sema simjui jina mana ata mpoki alimtambulisha ka mtu mwenye vipaji vingi tu...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Kwa kweli Wtz hutujui kutengeneza matangazo ya biashara lakini nimeliangalia tangazo la Simtank ambalo limemshirikisha mchekeshaji Ramadhani Mwinshehe 'Kingwendu' kwa kweli nimelikubali pamoja na...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
SIRI imefichuka! Mume (bado talaka) wa mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa yuko korokoroni Macau nchini China kwa msala wa kukamatwa na unga, Jacqueline Fitzpatrick Cliff, Abdulatif...
0 Reactions
27 Replies
18K Views
Hii ni kwa mujibu wa Cloud Fm msanii huyu amejifungua mtoto wa pili wa kiume, hongera Keisha umekuwa mama wawili sasa na mfano bora sana kwa wasanii wenzio
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Ukiachana na burudani kutoka kwawanamuziki mbalimbali kwenye hafla yakukabidhi tuzo za muziki za Kilimanjaro,burudani zaidi ilikuwa ni maneno kutokakwa MC ambaye pia ni mwigizaji sanaa...
5 Reactions
37 Replies
14K Views
Kama kuna jambo la kusikitisha ni hili la wasanii wa mziki na maigizo katika luninga. Wasanii hawa hujituma sana kubuni njia ya kujinasua na umaskini kwa kutumia muda mwingi na pesa kibao kutunga...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hii Pozi ni sawa kweli la kushikana makalio???
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Oscar winning actress and people magazine's most beautiful woman, Lupita Nyong'o opted for a unique look at this years Metropolitan Museum of Art's Costume Institute Gala on May 5 in New York...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nashangazwa sana na hii kitu, mastaa wa kike wanapofanyiwa interview kwenye TV lazima kuna kasehemu wadondoshe chozi, hivi ni hisia au ndo kujifanyisha!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kabla ya movie alishawahi kuuza chakula na biashara mbali mbali...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
1. T.I.D Kauli mbaya na dharau ni kawaida kwake 2. Chidy Benz Ukisikia kampiga mtu alafu ukashangaa basi utakua mgeni nchini na labda kama hujawai kumsikia msanii huyu.ngumi ndio maisha yake...
0 Reactions
82 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…