Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Yule dada wa UK kwa jina florah lymo au mbutananga yuko hospitalini kwa matibabu baada ya kuhisi kizunguzungu na kuanguka ghafla. Taarifa zilizohakikiwa ni kwamba alifanyiwa kipimo cha Kansa ya...
0 Reactions
62 Replies
11K Views
MBUTA Nanga ni a.k.a ya mwanadada FROLA LYIMO aishie UINGEREZA akiwa MTANZANIA. Nimeshawishika kuandika mada hii kwa kujua fika nae ni mmoja wa member hapa pengineanaweza akasoma au kama kuna...
2 Reactions
130 Replies
22K Views
  • Closed
Bi dada huyu amekuwa akiposti bidhaa zake anazodai anaziproduce yeye na kuziwekea price tag za madolare ya maana. Kumbe bwana sio bidhaa zake, bidhaa hizo ni za trebellawigs. Amekamatwa live na...
8 Reactions
275 Replies
33K Views
Mchizi amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa West huko,bumbum beat yake imeongezewa vionjo kidogo tu, Tuddy amecopy kutoka Nigeria. Sikiliza ''you garrit'' ya orezi na bumbum ya...
2 Reactions
37 Replies
10K Views
NEWS DAILY Tanzania imepata ugeni toka Nchini Marekani naye si mwingine ni Terrence J ambaye pia ni mtangazaji wa E! Entetainment Tv ya Nchini Marekani,akiwa na wenzake amefanikiwa kuikanyaga...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ' Penny' , sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Msanii wa kizazi kipya maarufu kwa jina la Profesa Jay ameachia picha kibao siku ya leo huku zikimuonyesha akiwa katika hali tata akiwa na watu waliovalia jezi kama za jeshi la polisi, katika...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu wana JF, Hivi huyu celebrate wetu, mtoto K'ndoni pale, ni yeye kweli au anatumia mchina siku hizi? Hivi mnauonaje unene alionao kwa sasa maana tofauti sana na alivyokuwa pale EATV, au...
0 Reactions
43 Replies
13K Views
Ni kundi liliotikisa katika ulimwengu wa r&b uko marekani katikati mwa miaka ya tisini,kundi hili liliundwa na akina dada Lisa lopes,T boz na Chill na albam yao iliowapa umaarufu mkubwa ni ile...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimeangalia video iliyowekwa mitandaoni inayomuonesha Yule aliekuwa mume wa Dida akihojiwa sababu za kuachana na mke wake. Kuna hiki kitu amekitaja kimenivutia kdogo nidadisi " Kwamba Mult choice...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga , staa wa Bongo Movies , Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Yaani Hapo Angekuwa na Hips diamond sijuii ingekuaje mmmh:peep:
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamii, Huyu kijana wa kuitwa Allan lucky alikuwa anafanya kazi EATV lakini kwa sasa jamaa kavuka boda anafanya kazi Kenya. Kuna hichi kipindi cha Skonga EATV yeye ndiye alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
JAY Z and Beyoncé put on a united front when they performed on stage together this weekend. The power couple's tour has been plagued with infidelity rumours, but Jay Z made sure to put an end...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu bana!haya leo napenda kuzungumzia hili swala la ulipaji kodi Kwenye tasnia ya mziki tanzania.leo in particular BONGOFLAVA! Haya ikiwa wafanya biashara wadogowadogo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mama mzazi wa star anayeipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa kwa sasa kupitia muziki, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana (July 11) alipata nafasi ya kuzungumza na Watanzania...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Siku ya jumapili ilikuwa ya furaha kwa wote walioweza kushinda tuzo la BET Awards, na pia ilikuwa siku ya vichekesho kwani MC ambaye alikuwa akiongoza shoo nzima Chris Rock alikuwa akiwashambulia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rihanna breaks FIFA etiquette as pop singer touches and kisses World Cup Trophy during Germany celebrations Rihanna posted pictures on Twitter holding the World Cup Trophy alongside players...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Behind the Scenes Dk Hamisi Kigwangalla akifanya kipindi cha Mkasi, Hii Leo kuanzia saa Tatu na Nusu usiku Kipindi hiki kitakuwa hewani. Tizama jinsi Dk Kigwangalla alivyozungumza Changamoto na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
WanaJF, Mimi ni mshabiki sana wa muziki wa Tanzania na hasa muziki ule uliokuwa ukipigwa kuanzia miaka ya 60 mpaka mwishoni mwa miaka ya 90. Kuna huyu mwanamuziki "nguli" ambaye kwa sasa yuko...
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…