Msanii wa bongo flava Ney wa Mitego ametoa video mpya ya wimbo wake MR NEY, katika wimbo huo kuna taswira mbalimbali ambazo zimeonekana kwa wale wenye kuingalia Music industry kwa jicho la tatu...
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.
Tanzania To Lagos,
I go make you famous.
Aibu sana kwa taifa. Au...
Mambo hadharani
Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ' Nay wa Mitego ' kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally...
wengi wanasema hajui kupiga instruments na ni msanii wa kutegemea CD lakini hapa majuzi mdaku mmoja wa karibu naye alichezesha taya na mwandishi maaraufu anayekuletea habari hii iliyokamilisha...
Wakati akiongea katika mahojiano maalum kuhusu kutimiza miaka miwili ya kipindi chake cha Maskani kinachorushwa na 100.5 Times. Leo asubuhi akijibu maswali ya Mc Pililpili aliyekuwa mmoja wa...
Lady Jay Dee, jana (August 30) kupitia Instagram alijibu kwa ufupi habari iliyoandikwa na gazeti la Risasi yenye kichwa cha habari ‘Jide, dogo dogo gumzo mjini', Jana kupitia ukurasa wake wa...
Msanii AY anatarajia kuachia nyimbo mbili za kimataifa mwezi November mwaka huu. Miongoni mwa nyimbo hizo ni pamoja na ule aliomshirikisha Sean Kingston.
Akiongea na kituo cha...
KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUENDELEA NA STORY HII TAFADHALI NI TEXT HAPA 0656660223 INAITWA FINAL.DECISION NAMI NITAKUTUMIA LINK YA STORY YOTE
FILAMU YAKE ITATOKA HIVI KARIBUNI NA HII NI SEHEMU YA...
habari nilizozipata ivi punde zinasema babu seya kaachiliwa huru
naomba usibitisho jamani
==========
TAHADHARI: UVUMI SI WA KWELI
Picha inayosambazwa kwenye mitandao ni ya Oktoba 2013 wakati...
Former WWE wrestling superstar Sean O'Haire was found hanged after taking his own life, according to US reports.
American gossip site TMZ claims local police discovered the 43-year-old's body in...
Unaweza kuwa mfupi kiasi cha kukufanya utamani kuongezeka, lakini ukiwaona wenzako wanavyopeta nalo basi utagundua unapaswa kumshukuru Mungu kwa umbo lolote ulilopewa.
Jyoti Amge, mwenye umri...
Singer and fashion icon switches up her look and transforms into some kind of goddess in new dramatic photos for German fashion magazine, Tush. The Bajan beauty rocks a long gray wig, frosted...
Millard katubagua wale wote wapenzi wa Kilimanjaro Music Tour kwa kutoleta news zake on air tofauti na Serengeti Fiesta ambapo hupamba kwa habari kibao hata kabla ya tukio lakini hii ya kili music...
Ghanaian movie star Majid Michel must be gearing to stir up the movie scenes in Nigeria and Ghana soon with his recent comment on popular Nollywood actress Genevieve Nnaji.
Although he is...
Mahakama:Pistorius hakukusudia kuua
Jaji anayetoa uamuzi katika kesi ya mauaji inayomkabili Oscar Pistorius, amesema upande wa mashitaka umekosa kuthibitishia kikamilifu shitaka kuu la kwanza...
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Diamond ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na MOST GIFTEDVIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTEDNEWCOMER...
Wadau mbalimbali wa muziki hapa nchini, wote kwa pamoja wamesema kuwa Prof Jay ndie msanii aliyeweza kukaa kwenye gemu muda mrefu hapa nchini kwasababu ya VVU.
kirefu cha neno VVU- Vina Vya Ukweli