MWIGIZAJI kiwango enzi hizo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora' aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa wa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana...
KATIKA Gazeti la Amani Toleo Namba 829 la Septemba 11- 17, 2014, kulichapishwa habari ukurasa wa mbele iliyosomeka :
"DIVA: ZITTO NI MUME WANGU.
Ikikolezwa na dondoo ' Adai ni mke...
Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ' Odama ' amekanusha tuhuma ya kumficha mwandani wake na kufunguka kuwa , marafiki na familia yake wanamjua hivyo haoni...
Mchumba wa staa wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ' Shishi Baby ' ,Naftari Mlawa ' Nuh Mziwanda' amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukataliwa ukweni' kwao , Tabora.
Tukio hilo...
Mtangazaji wa kipindi cha Boys Boys cha TV 1, Mwisho Mwampamba na mkewe Meryl ambaye walikutana na kuanzisha mahusiano kwenye Big Brother Africa All stars, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa...
Profesa Jay amekuja na video mbili kali alizofanya na directors wa kitanzania.
1. kipi sijasikia aliyomshirikisha Diamondplatnumz
Hii video ni kali japo sijaona Adam Juma akifanya jipya kwenye...
Kate Samwel likes Wema Sepetu.
Yesterday at 5:00pm ·
Wema Sepetu
Actor/Director · 159,862 Likes
Ndugu wana bodi,
Picha hapo juu nimecopy kama ilivyo kule facebook na kuileta kwenye jukwaa...
Kituo cha habari cha kimataifa cha Marekani BET international kilikuwa kikiripoti live kila hatua ya show aliyofanya Diamond weekend iliyoisha uko Uingereza, kupitua kurasa zao za social networks...
FEDHA haina mwenyewe ! Siku chache baada ya kudaiwa kuyumba kiuchumi kiasi cha kuzidiwa jeuri na aliyekuwa shosti wake , Kajala Masanja ' K' , Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ameibuka na...
STAA wa filamu ya Kigodoro , Mama Abdul ' Kantangaze ' hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kuwacharukia wezi wa nyama misibani, hasa akina mama. Mama Abdul alitoa kauli hiyo baada ya...
Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jacks a.k.a Jack Daniels uliopambwa na Skylight Band
Hapo Kwenye Picha Wema Alikuwa anaimbiwa Wimbo Maalumu kwa Ajili yake na Kuamua...
Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz', Moses Iyobo ‘Moze' kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao...
Kutokana na fitna nyingi zinazoendelezwa na aliyekuwa kiongozi wa Bongo Movie William Mtitu, pamoja na mjomba Mrisho Mpoto raisi was bongo movie ameamua kuachia madaraka, wasanii mtakula wapi...
Kati ya vitu ambavyo kwa msanii wa hapa bongo anavyojali most,miongoni mwao ni ku-maintain status yao ya u-superstar,na moja kati ya vitu anavyotakiwa kufanya mtu kama star ni kufanya vitu tofauti...
Baada ya kupitia kipindi kigumu cha kutumia madawa ya kulevya ' unga ' kisha kunusuriwa, super lady kwenye Bongo Fleva , Rehema Chalamila ' Ray C ' , hatimaye mambo yameanza kumnyookea...
Nimeona story nyingi ni za udaku/ukuda na chache sana ni uhalisia! Je hili jukwaa ni lazima kuweka kipaumbele story feki au udaku/ukuda? Magazeti ya udaku yamechukua nafasi kubwa hapa ambapo mara...
1. Steve Jobs
Inawezekana komputa za Mac na bidhaa nyinginezo kama iPhone zisingekuwepo kama Steve Jobs angebakia chuo.
2. Bill Gates
Moja wa watu walioacha chuo Harvard na wamefanikiwa na ni...