Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wana Jf mnalikumbuka kundi lililoimba wimbo wa USA AFRICA?
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Leo Namzungumzia sio mwingine bali Ni Super producer Adam Juma. Jamani tuwe- na desturi- ya kusifia- vizuri tena vya Nyumbani- na sio umbea- tu na mabaya ndo myashadadie, haya- leo ni siku ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By Stephen Senkaaba The two accepted Jesus on Thursday evening after Kenyan evangelist Annabelle Renno preached and prayed for them at Kololo Hospital, where Chameleone was admitted on Wednesday...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Pamoja na kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ' G . Habash ' na ' mtalaka' wake, Judith Wambura...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Msanii kutoka Marekani T.I ametangazwa leo kuwa. ndie msanii atakae burudisha kwenye serengeti fiesta itakayofanyika Dar
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi! Bila shaka hakuna ubushi kuwa Diamond ni msanii ambaye ameendelea kufanya vizuri Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hata Ulaya ana kubalika na hadi kufanikiwa kuingia...
5 Reactions
67 Replies
9K Views
wasanii wa bongo movie ku act kuwa wamependa real love wakati hawawezi na hawajui kupenda ni upuuzi wa hali ya juu,unakuta movie inamuonyesha monalisa au flora mvungi anauza karanga mitaani,wakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muigizaji wa filamu za Kibongo, Salim Omary ‘ Slim ’ amejikuta akiwekwa nguvuni katika Kituo cha Polisi cha Makangarawe , Yombo -Buza , jijini Dar akidaiwa kugoma kurejesha gari aina ya Land Lover...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Umaarufu wa insta, watu wanapenda umaarufu kupitia kwa kutoa matusi kushadadia ugomvi kuwasimanga wenzao kujiona wao n wasafi kuliko wenzao. Huyu dada ganya1984 ameolewa na mume wa mtu ambae ana...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Closed
Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la Miss...
0 Reactions
82 Replies
60K Views
Msanii mkali wa bongo flavor rich mavoko ameachia kichupa kikali cha wimbo wake mpya uitwao Pacha Wangu. Kichek kichupa hicho hapa Watch "Mavoko "Pacha wangu" ( Official HD/2k Music Vid…" on...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii huku akimmwagia sifa kemkem. Hamisa alisema mwanaume huyo ni...
0 Reactions
85 Replies
21K Views
  • Closed
Nauhakika humu siwezi kosa kitu, hivi huyu mkaka ni nani hasa maana namwona sana kwenye social media na mastaa kibao wanampata. what is he doing for living? Umaarufu wake (kidogo) ni kwa ajiri...
0 Reactions
146 Replies
27K Views
Kama umekulia miaka ya 90s na ulipenda bongo flava from late 90s basi bila ubishi either ulicopy album ya ugali or ulinunua album ya ugali.Huyu jamaa alikuwa ni kiboko ilikuwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
“MADAM...Madam...Madam...” ndizo kelele zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa akimtunza fedha nyingi dogo machachari wa Bendi ya Yamoto, Asilahi Isiyaka ‘Dogo Aslay’...
1 Reactions
67 Replies
25K Views
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village... Hongera sana diamond platnumz Source page yake....picha will follow...
1 Reactions
95 Replies
16K Views
Shows nyingi anazofanya platnumz zinamuingizia kipato kikubwa sana ukijumlisha na mapato mengine ya shughuli zake za kibalozi, lakini ni dhahiri hana pesa anayotamba anayo Na wala hatakuja kuwa...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Msanii aliyefunga pingu za maisha juzikati na mwanaume mwenye asili ya Denmark , Janus Stanley Landrock , Lucy Komba amesema kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kunogewa na mapenzi ya mzungu...
0 Reactions
138 Replies
19K Views
STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke. Wolper alisema, katika maisha siku zote anaamini kuna kipindi...
4 Reactions
140 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…