Mwaka 2010 CCM walimtumia msanii MALLOW mzee wa bembeleza aliyekuwa hot kwa wakati huo kwenye kampeni za uchaguzi,baada ya uchaguzi jamaa kapotea kabisa kwenye game kwa sababu watz 70% chama hiki...
Kwa mujibu wa vyanzo tofauti vya habari ni kuwa nyota wa kikapu ndani ya NBA mTanzania ametemwa na timu yake mpya Detroit Pistons kutoka jimboni Michigan aliyojiunga nayo siku kadhaa zilizopita...
Ningekuwa Sitti Mtemvu ningefanya kama alivyo fanya Tupac Shakur mwaka 1996. Baada ya kuhofia usalama wa maisha yake Tupac Shakur aliamua kufuata ushauri wa Niccolo...
Ebwana namsikiliza Zembwela hapa kwenye supamix ndio amesema.
YP ni msanii wa wanaume TMK aliyeimba kwenye Dar mpaka Moro akishirikiana na Temba na Chege au kwenye wimbo wa twenzetu akiwa na...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) wamesema endapo mrembo wa Taifa mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu, atabainika kudanganya umri wake kwa kughushi vyeti vya kuzaliwa...
Kilele cha fiesta siku ya jana tarehe 18 octoba 2014 Tanzania na dunia nzima kwa ujumla imeshuhudia msanii Ally Kiba akioyesha kuwa uchawi hauna nafasi kabisa kwenye muziki baada ya kumkalisha...
Yule msanii anayesemekana kuwa ni bilionea kuliko msanii mwingine yeyote Tanzania ambaye pia ameanza kujenga hekalu lake huku likiwa halijakamilika kwa mvua tatu sasa (miaka mitatu), ambaye pia...
baada ya kutusaidia kupunguza kelele za mwanajeshi wa sinza kwa kushinda EMA best african act sasa tuwasaidie pia washinde best worldwide act..vote for these talented dudes...sura yako muzuuuri...
Hii ameandika kupitia ukuta wake wa Instagram.
Ni Tanzania pekee Miss Tanzania anaulizwa kuhusu taarifa tofauti kwenye Passport, Leseni ya Udereva na Cheti cha Kuzaliwa anajibu kwamba hilo ni...
Ally Kiba akihojiwa na Amplifire ya Mirlad Ayo ameulizwa maoni yake ni wasanii gani walimvutia kwenye show ya Fiesta amewataja wanamuziki kadhaa pamoja na Diamond.
My take: hapa ndio tofauti ya...
hii imetokea university of florida ambapo wanafunzi wa kiswahili wakizungu walionekana kumhusudu diamond hadi kufikia kutengeneza movie ya kumbembeleza akapige show hapo!!!!! jamaa ni super staa...
Katika vitu ambavyo ni muhimu kwenye modaling ni urefu. Mwanamke huwezi kuhesabiwa kama we ni mrembo anaekidhi vigezo kama hutokuwa na height iliyosawa. Msanii Lulu Michael ni moja kati ya wasanii...
Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida
NDOA basi! Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' amezima ndoto za kuishi maisha ya mke na...
kufuatia kauli aliotoa mwimbaji wa bongo fleva nasibu abdul a.k.a diamond kumeibua hisia tofauti na chuki kwa wapenzi wa muziki wake ,kauli ya mwimbaji uyo kusema kuwa katika mkoa wa mbeya amna...
HIZI NI SENTENSI 4 ALIZOZISEMA MENEJA WA DIAMOND KUHUSU DIAMOND KUZOMEWA KWENYE FIESTA..
1.sisi tumechukulia sehemu ya mashindano,uzuri sisi tuliambiwa na uongozi wa Clouds kabla ya Diamond...
Wanandoa , muigizaji Flora Mvungi ' H. Mama' na mwanamuziki Hamis Ramadhan ' H. Baba ' wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa
Akizungumzia mjengo huo walioupanga...
Kupitia akaunt yake ya instagram jaydee ameelezea alivyochukilia mwaliko wake wa kuwa mgeni rasmi katika sekondari ya unyanyembe inayomilikiwa na jeshi kuwa ni zaid ya heshima kwake.
Ni kwamba...
Wadau siku za karibuni mtakumbuka kuwa Mrisho Mpoto alipewa za uso hapa jukwaani mara tu ya kutangaza nia ya kupambana na John Mnyika pale jimbo la ubungo 2015. Kweli nahisi huyu jamaa watu...
Okay, Kuna watu wanataka ku-prove kuhusu hizo taarifa za umri wa Miss wetu fuata hizi steps, ni simple ingia https://i94.cbp.dhs.gov/, then chini chagua I agree, bofya proceed halafu ikifunguka...