Mimi ni mfuatiliaji wa hii channel ya vijana lakini naona saizi wanatuwekea bongo movies tu kila siku ni bora wange iacha itwe chanel 5 kuliko EATV na wakati hao wakenya na waganda hawana hata...
STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ' Johari' amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la...
Ikiwa tunaelekea kuufunga mwaka, sisi kama member wa jamiiforums tunachagua celebrity aliyefanya vizuri kwa mwaka mzima na tutamkabidhi tunzo maalum.
Sasa naomba tupendekeze ni nani anafaa kupewa...
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu , Hamisa Hassan Mabeto amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana.
Akipiga stori na paparazi wetu, Mabeto alisema bado...
Kala Jeremiah: Dear God ilinipa Dili La Kwanza Kimuziki nikadhulumiwa ,Nilionja Matunda Ya Muziki Kupitia wimbo huo
Ilimchukua Miaka Nane Kala Jeremiah kuanza kuonja Matunda Ya muziki licha ya...
Yule Mtanganyika na Mbongofleva aliyeenda na Cocaine Airport huku akiweka kwenye mfuko wa shati ,ameandika huko tweeter kwamba tumuombee ili mungu amsimamie atoke salama. Leo kesi yake ndo...
HAIJAKAA sawasawa! Siku chache baada ya Sitti Abbas Mtemvu ( 25) kujivua taji la Miss Tanzania 2014 kwa madai ya kusakamwa na vyombo vya habari kuhusu umri wake, wadau wamemwangushia uwajibikaji...
Wimbi la wasanii wetu ku-shoot video nje ya nchi (S.A) linaongezeka kwa kasi sana toka Diamond afungue njia na wimbo wa Number 1
Ndani ya mwezi mmoja nimeshuhudia video zaidi ya kumi kwenye...
Sheta ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaofanya kazi na hit makers wa bongo kwenye nyimbo zake amezungumzia uwezekano wa collabo na Ali Kiba Kwenye exclusive interview.
Swali> Sheta Una mpango...
Teaser ya wimbo wa msanii kinara katika muziki wa Bongo "Dimond platnumz" imevunja rekodi ya kupakuliwa katika mitandao mara nyingi zaidi, kipande hicho ni cha sekunde 21 kinachoonyesha kuwa hiyo...
Nimekuwa nikifuatilia Weusi kwa muda sasa na nimekuwa impressed nao sio kwa kazi zao hata character zao as individuals hasa joh makin na g nako. Ila am not impressed for the case of Niki, amekuwa...
Yamoto band ikiongozwa na Mkubwa fela wakijulikana kama mkubwa na wanae wakiwa na nyimbo kali zilizotamba na zinazoendelea kutesa kama Nitajuta
,mapenzi ya moto, niseme na INOOH.
Sasa wametoa...
Taarifa ambayo imezagaa kila kona ni ya kupatana kati ya Wema na Penny.
Wasameana na kuondoa tofauti jana katika dinner ya birthday ya Junaitha,Junaitha ndiye aliyefanya harakat zote za kupatana...
Mke wa Gardner G Habash, Judith Wambura Mbibo, ‘Lady Jaydee' akipozi.
Prizenta aliyetua Radio E-FM hivi karibuni akitokea Radio Times FM, Gardner G Habash ‘Kapteini' anadaiwa...
Ni swali ambalo Waandishi wengi waliwahi kutamani kupata time ya kumuuliza ambapo kwa bahati nzuri kaulizwa kwenye kipindi cha maswali na majibu na akatoa jibu akiwa na tabasamu zito kabisa...
UNAFIKI 100 % ! Wakati kila mtu akiamini kwamba staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ni shosti wa Kajala Masanja ' Kay' , ameibua mshangao baada ya kunaswa akikumbatiana na...
Naomba Profile ya Private na Public ya huyu jamaa
Vitu kama vile alizaliwa wapi mwaka gani
kasoma shule gani(Not interested in Primary)
University (undergrad kasoma wapi?)
alisomea...
Sorry wanajukwaa niko Namtumbo ndanindani huku sielewi mambo yanayotokea mjini, niliambiwa na rafiki yangu ambaye yuko daslam kwamba tar 8 Nov (jana) msanii wetu maarufu aliyeimba kitorondo...