Diamond Platinumz Turned Into Slave
Tanzanian singer Diamond Platinum's singing career is in jeopardy following his intimacy with Kampala's top socialite, desert...
Juma Nature na Inspekta Harun ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya waliofanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa sana kwenye tasnia ya bongo fleva kipindi fulani kilichopita. Ni wasanii ambao kila mmoja...
MWANAMITINDO maarufu Bongo , Martin Kadinda na mwigizaji Aunt Ezekiel wamenaswa chobingo wakiwa katika pozi tata. Tukio hilo lililoibua maswali mengi yasiyokuwa na majibu lilitokea mwishoni mwa...
Hongera Kwa kupata mtoto. Sasa inabidi utulie na zile b****gi sasa uache kuziabudu na kukumbuka wewe ni baba sasa.
============
Adam Mchomvu Mtangazaji wa kipindi cha XXL kinachoruka Clouds...
WS:Historia fupi, nilizaliwa Kwermusl, Mbulu, Tanzania, tarehe 29.10.1948.Lakini ili kukidhi haja ya swali hili zima,labda tuambatanishe CV au BIODATA yangu kama ifuatavyo;
CURICULUM...
The popular Ghanaian socialite Nayele Ametefe also known as Ruby Adu-Gyamfi, who was arrested on November 10th 2014 at London's Heathrow Airport, with 12kg of cocaine worth about $5 million has...
Hili ni jambo la kheri pale mwanaume anapoenda nyumbani kwa mwanamke ambaye anamini anafaa kuwa mke wake na kutoa posa.
Siingilii uamuzi wa MANAIK SANGA kutaka kufanya hvyo lakin je mwanajf...
Wee..PAKA road yuko tayari Nigeria
Tayari kufanya show ya Wacheza mpira bora
Africa..
Wee kweli Tanzania tunakila sababu
Ya kujivunia paka road wetu kama yeye anavyojiita
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu'siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki...
Jamaa yuko kwenye harakati kitambo kwenye hii game. AY ndo alianza kuwafumbua macho wasanii kuhusu umuhimu wa kufanya collabo na wasanii wa nje ya nchi.
Pia ndo alikuwa msanii wa kwanza bongo...
BAADA ya kuwa na malengo ya kuolewa mwaka 2014 , mwigizaji Elizabeth Michael ' Lulu ' ameibuka na kusema imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa kutotimiza suala hilo...
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Afro pop ukanda wa afrika mashariki Nasib Abdul Juma ama "Diamond" amewafurahisha mashabiki wa muziki mzuri baada ya kutangaza kuachia ngoma yake katika media za...
MREMBO aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ' Masogange ' amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana ...
MWANAMITINDO anayefanya vizuri katika urembo ambaye hivi karibuni aliingia mkataba wa mabilioni na kampuni ya Rainbow Shell ya China, Jokate Mwegelo amesema katika harakati zake za kusaka...
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.
Hivi inamaana...