Rapper mahili na ex-member wa kundi la East Coast Team Hamis mwinjuma a.k.a Mwana Fa sasa amegeukia upande wa pili wa burudani yan Masumbwi(boxing).
Star huyo wa 'Yalaiti' amepanga kuzichapa na...
Msanii nguli wa miondoko ya hiphop Tanzania Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana Fa ageukia upande wa pili katka soko la taarabu.Na kwa kuanza leo ameachia kibao chake kipya kinachoitwa 'Yalaiti' ambao...
Umuofia kwenu!Eem let mi kujitutumua kuuliza kizungu becoz ze lugha ya taifa iz hard for forenaz.Zis nearby for Wema Sepetu and ze msanii zis Ommy dimpoz iz kukaaje?zey kupiga picha tata zea Sauz...
Jana madogo walikuwa live bbc swahili londn na leo wanatumbuiza show yao ya kwanza
Ulaya mji wa London..uk..
Watanzania wengi wameonekana kuwapokea
Vizuri vijana..
Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu...
Kesho hawa watoto watafanya show East London,ambayo itakuwa ya kufaana saana!Watanzania waishio huko wengi wamepanga kuwa-support na nimeambiwa ticket zimeisha tayari!
Ni moja ya band nzuri,japo...
Naomba kama kuna anayefahamu historia ya Askofu anifahamishe kidogo,maana sijawahi kusikia chochote kibaya kuhusu huyu Askofu.
Je ni mmiliki wa gazeti la Msemakweli au Nyakati?
Je ndo mmiliki wa...
Umofia Kwenu,
Wadau kuna habari Le grande mupao suvereee mwonkozi Joseph Kusaga amehamia Abu Dhabi kwenye makazi mapya,anataka kufungua radio station huko huko na kupeleka king'amuzi chake!
Big...
Jamani! Hasheem Thabeet amechafua bwana. Mpaka hivi sasa ana baby momma wanne.
Jamaa muda mwingi anatumia kwenye viuno na sio court ku-ball. Dah! Kweli Mswahili Mswahili tu..
Mwanamziki Ommy Dimpoz amerudishwa Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kwa kokosa vibali vinavyomruhusu kuingia nchi hiyo.
Chanzo: Clouds
Aisee
Nasikia viza aliyokuwa amekata haikuwa ina...
Msanii wa Kimataifa Ambwene Yesaya (AY) anayefanya kazi zake za kisanii nchini Tanzania na pia anatamba na wimbo wake mpya unaoitwa ZIGO amezidi kuonyesha mafanikio yake ya kimuziki na kibiashara...
Imegundulika Kuwa Waigizaji Wa KIKE ( Bongo Movie ) Pekee Ndiyo Hufanikiwa Sana Na Haraka a.k.a KUTUSUA Mapema Kimaisha Kuliko Wale Wa Kiume Lakini Pia Kama Hiyo Haitoshi Imegundulika Kuwa...
Miongoni mwa stori zilizochukua headline kwenye radio mbalimbali, hata kwenye magazeti ni kuhusiana na msanii wa Ommy Dimpoz kuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa Tanzania bila kufanya show...
Msanii Mwasiti ametangaza rasmi kumtangaza mpenzi wake ikifika mwezi wa tatu.
Ametoa uamzi huo wa kutangaza kutokana watu wengi kumuuliza kuwa ana uhusiano na Sam Missago naye kukataa na kudai...
Habari wana JF,
Kweli mziki unalipa sana,Msanii wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana Fa) aonyesha jeuri ya fedha. Mwana Fa asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanaotumia matajiri...
Staa wa Bongo Fleva, Stara Thomas akiwa na mumewe
Stori: Deogratius Mongela na Chande
HAYA ni madai mazito! Kwamba, staa wa Bongo Fleva ambaye juzi kati alinusa kwenye gospo...
Mungu ni mkubwa :Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond Platnumz, Sanura Kassim Sandra, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa.
Habari kutoka...