Bobbi Kristina akiwa na mama yake mzazi,
Whitney Houston enzi za uhai wake.
FAMILIA za Bobby Brown na marehemu Whitney Houston zimekubaliana kumwondolea Bobbi Kristina mashine inayomsaidia...
Hii ya WEMA tuite nn...?
Drama, movie au sils....? km ni sils hii season ya ngapi? Tatizo langu kumbwa hapa hii movie haina hata PG(Parental Guidance)..
yani hata watoto wanaangalia movie...
Nafurahia miziki ya bongofleva na wasanii wetu.
Ukiangalia Picha za Alikiba kwenye public appearance au hata show anapenda KUSHIKA AU KUWEKA mkono uelekeo zilipo sehemu za siri!
Hata kama ni...
EXCLUSIVE! Kile kisa cha mtalaka wa mwimba taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhani Nkongo ‘Isha Mashauzi', Jumanne Hassan ‘Tevez' kuteswa na kudhalilishwa nchini Afrika Kusini kisa...
Umofia kwenu wanaJF,
Huwa sipendi kuzungumzia afya za watu,ukweli kwamba nakuwa sina vithibitisho vya ushahidi lakini kwa hili la TID naomba kulizungumzia.
Wiki mbili zilizopita niliudhuria...
Muigizaji wa filamu,Wastara Juma amewapa watu simamzi zito mtandaoni, baada ya leo kuandika maneno mazito ya uchungu akisema matatizo ya dunia yamemzidia na kubandika picha akiwa analia.Na...
Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend. Muigizaji hiyo wa filamu amesema anataka kuolewa.
Wema alisema hayo jana kwenye reality show yake, In My Shoes baada ya meneja wake...
Bobbi Kristina Brown's family members have reportedly gathered to say goodbye, People reported on Thursday (today).
The news comes just a few days after the 21-year-old daughter of Whitney...
Whitney Houston's mother returns to hospital to be at granddaughter's bedside amid claims she is AVOIDING Bobby Brown
Cissy Houston, 81, arrived at the Emory University Hospital on Saturday
Has...
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano.
Sijawahi kufanya mapenzi na mtu...
Kwenye huu wimbo wa Lekadutigike kuna mstari unaosema Kigoma ni lango la Tanzania. Swali langu limekuwa ni lango kwa namna gani?lango la kwenda au kutoka wapi?,
Sababu kama ni kuwa mpaka kuna...
Kama ulikuwa unajiuliza Hussen Machozi Yupo wapi baada ya kupotea kwenye Ramani ya Muziki basi leo utapata jibu hapa.
Hivi Karibuni Mwanamke mmoja wa Kimombasa alisikika kwenye vyombo vya...
Meneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul Diamond, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za...
DIVA wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa alikosea kuzaa nje ya ndoa, na sasa hana mpango huo tena.
Rose alisema suala la ujauzito wakati mwingine linaweza kumjia mtu bila kupenda...
Kwa mara ya kwanza kwama najitokeza kuuliza swali ambalo nahisi majibu ninaweza kuwanayo ila labda sijajua kuwa haya nilionayo ndio majibu sahihi.
Siunakumbuka enzi za soma hadithi hii kisha...
Mwanamuziki mashuhuri, Dionne Warwick, mama mdogo wa Whitney amekutwa bafuni hajitambui, akapelekwa hospitali hali yake tete .
============
It's incredible ... Dionne Warwick -- the cousin of...