Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Afande Sele kafunguka kupitia ‪#‎YouHeard‬ ya Power Breakfast Clouds Fm na kusema kuwa wabunge wengi wa Tanzania wanamfuata na kumuomba 'Mmea' wakidhania kuwa yeye bado anavuta...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimependa hii idea ya hawa jamaa, kwenye huu wimbo wao mpya Wanabishana kipi ni muhim ktk mapenz ni pesa au mambo ya kupet pet Wanachonifurahisha wanatumia story zao za ukweli wanafanya wimbo...
3 Reactions
32 Replies
9K Views
Lindsay Lohan turns to Islam: Troubled actress carries the Koran as she steps out after court-ordered community service at a children's center Lohan was raised a Catholic, has since spoken...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Aisee huyu jamaa nilikuwa nafutilia historical back ground yake ingawa alikuwa anajiuma uma kwa ku loose confidance dhidi ya ugeni wa kuongea kwenye media. Ila kama ni kweli alichokuwa anakiongea...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
MAFURIKO yanayotokea katika sehemu mbalimbali nchini kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha, yanaizengea nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz iliyopo Tegeta Madale...
0 Reactions
89 Replies
21K Views
kwa muda mrefu sasa watanzania tumekua tukijiuliza ni nini tatizo la mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii ya kitanzania,na serikali imekosa kugundua kwamba ugonjwa uhu unasababishwa na hawa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Baba mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mkubwa Bongo , marehemu Steven Kanumba ' The Great ' , Charles Kusekwa Kanumba amefunguka kuwa ili azae , staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Wakuu, Hivi kwanini wasanii wa fani ya mziki na filamu wanapenda sana kujipodoa podoa wanakua kama wasichana? mfano yule mwanamziki maarufu aliyotoka na Mbagala, sasa hivi kawa mweupe kama...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanadada Siwema ambaye alikuwa na uhusiano na msanii Ney wa Mitego ameonyesha jeuri ya pesa mda mfupi baada ya kuachana na Ney wa mitego baada ya kununu gar mpya aina ya Hyundai CR-V. Hivi...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Mkongwe wa sinema za Kibongo ambaye amekita makazi yake nchini Denmark, Lucy Komba ameweka bayana kuwa katika suala la mapishi anapokuwa nyumbani, huwa wanawekeana zamu ya kupika na mumewe. Lucy...
0 Reactions
82 Replies
14K Views
Wakuu, Nimefanya research ndogo na kugundua kwamba kuna mwanamuziki moja tu anayeishi maisha yasiyo ya maigizo kama wenzake wanaoshinda wakiazima magari,nguo ,simu,viatu. Huyu anaishi maisha...
0 Reactions
165 Replies
19K Views
Kumekuwa na tabia za masuper star hasa wanawake kupiga picha wakiwa nusu uchi. Picha ambazo licha ya kujidhalilisha wao wenyewe,pia wanadhalilisha hata familia zao. Wengi wanafanya hivyo kwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatiana kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party 'ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika...
0 Reactions
49 Replies
16K Views
Agnes Gerald (Masogange). HABARI ikufikie kuwa muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness Gerald ‘Masogange' anadaiwa kutimuliwa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi'...
3 Reactions
210 Replies
39K Views
Mtangazaji wa EFM Maulidi Kitenge aoa tena
0 Reactions
127 Replies
41K Views
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa...
0 Reactions
109 Replies
35K Views
VMachoni pa wengi maswali yaliibuka miongoni mwa mashabiki wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘ Diamond Platnumz’ , Zarinah Hassan ‘ The Boss Lady ’ baada ya kumuona akiwa ‘ klozi ’ na Bosi...
0 Reactions
19 Replies
12K Views
Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘ Lulu ’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ ku -date’ na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake ...
0 Reactions
68 Replies
11K Views
Ivandon x - husband wa zari amejitolea kumfadhili Ali Kiba, kwa kuwa anaamini ni bora zaidi ya Diamond Platnumz. Kiba utafanyaje brother?nyanyua simu uwapigie..ushauri wangu
1 Reactions
71 Replies
15K Views
MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael ` Lulu ' amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea...
0 Reactions
111 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…