Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu? unamshusha...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Masinema ya diamond kuzaa na wanawake mbali mbali yameendelea kutuvuruga wapenda ubuyu, jana alijitokeza mwanamke mmoja mburundi akisema amezaa na diamond watoto mapacha wa kike, mwanamke huyo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Gangasta's Paradise ni moja ya Miziki mikubwa kabisa kutokea dunia, ngoma hii kali ilirekodiwa mwaka 1995 na mwanamziki Leon Ivey Jr maarufu kwa jina la kisanii Coolio, ndani yake kwenye kibwagizo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Diamondplatnumz nyota yake inzidi kung'aa baada ya DJ KHALED kumfollow katika Account yake ya Instagram! Hii inamaanisha DJ khaled anamfahamu Diamond na anapenda kile ambacho anafanya Kwa nchi za...
2 Reactions
42 Replies
10K Views
-From Millardayo:RASMI. Mwimbaji wa Tanzania Diamond Platnumz ametangazwa rasmi na Brand maarufu ya WINE UFARANSA kuwa Balozi wake na kuingia kwenye orodha ya mastaa 200 duniani wanaonadi bidhaa...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Mr Mchepuko, aka Chibu dangote aka Simba, amemwomba radhi mzazi mwenzie Zari kwa kuchepuka. Lakini pia Ameendelea zaidi kumwomba Zari amwombee radhi kwa watoto wake wa "Sauzi" kwa "ujinga wake"...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Mchekeshaji maarufu bongo Ebitoke alizwa na kitendo cha anayedaiwa kuwa mpenzi wake Ben Pol kutopokea simu wala kujibu meseji zake, na kuomba msaada kwa watu kumuuliza msanii huyo kwa nini...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Zari aandika haya kwenye account yake ya Instagram baada ya Diamond Kukiri Hadharan mtoto wa Hamisa ni wa kwake.
2 Reactions
146 Replies
30K Views
Imekuwa ni habari kubwa mno mpaka kwenye mashirika makubwa ya habari ulimwenguni BBC, DW nk. Mahojiano ya Diamond kwenye kituo cha habari cha MAWINGU na 'KUKIRI' kwake kwamba mtoto w Hamisa...
13 Reactions
29 Replies
4K Views
Ali kiba ameendelea kuleta umaskini kwa washabiki wake, na kuwapunguzia uhuru wa kupata burudani. Mashabiki wa ali kiba wanatumia nusu ya kipato chao kununua bando ilimradi waweze kuangalia video...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Naona viewz zimeganda tu, zilipendwa inazidi kushika kasi bila promo bila kampeni ngoma inazidi kutusua tu.....itakuwa aibu sana pale seduce me itakapopitwa viewz na ngoma ambayo imetoka bila...
12 Reactions
167 Replies
16K Views
Kwa maadili ya kitaanzani, ni kosa kupiga picha inayoonyesha sehemu au viungo vyako vya siri. Mambo kama haya yamezoeleka kufanyika katika nchi za magharibi na nchi nyingine zilizoendelea. Hii...
0 Reactions
94 Replies
63K Views
Sifahamu vizuri undugu au ujamaa wao Lakini inasikitisha sana msanii maarufu Afrika Mashariki anayetamba na ngoma ya seduce me Ali Kiba kushindwa kumpa support Abdul Kiba. Baraka da prince...
6 Reactions
64 Replies
11K Views
Msanii wa kike wa filamu za bongo ambaye pia aliwahi kuolewa na mcheza mpira kutoka Rwanda, mlimbwende Irene uwoya, amesema mpenzi wake wa sasa ana ngeu nyingi mwilini za kuchanwa visu. Akipiga...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Hivi hakuna wa kunyapia habari za Soudy Brown? Maana inasemekana lakini eti jamaa alikuwa east cost. Pia inasemekana anamambo ya kitoto toka kwa aliyekuwa shemela wetu Ruby Pia jamaa hua hajali...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Kwako diamond Kama kuna mahusiano zari anayajutia na atayajutia katika maisha yake yote basi ni kuwa na mahusiano na mond Kuwa na mond zari amedhalilishwa sana ametukanwa sana hadi maex wa zari...
10 Reactions
70 Replies
10K Views
TANZIA: Msanii maarufu wa maigizo Afrika Mashariki, Maureen Wana, ambaye pia alikuwa akijulikana kama Sabrina au Ketty katika tamthilia ya Kashfa iliyokuwa na Azam TV kupitia channel ya Azam TWO...
2 Reactions
29 Replies
11K Views
Hakika baada ya Diamond kuhepa hepa kuhusu Mtoto Nasib Abdul leo amekiri kuwa ni suna yake....... Hamisa ni shujaa kwasababu hakurudi nyuma aliendelea kuchokonoa hadi Mzee Baba yakamfika...
2 Reactions
51 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…