Taarifa za chini chini kutoka kwa mchunguzi konyo mange kimambi inasemekana Diamond platnumz anamiliki asilimia 20 ya wasafi TV na radio...Mara ya kwanza watu walivyodhani hii TV na radio...
London (CNN)World leaders and political figures will not be invited in their official capacities to the wedding of Prince Harry and Meghan Markle, the UK royal family announced Tuesday.
Former US...
Amber Lulu kauanza vizuri sana huu mwaka, akiendelea kukaza hivi baada ya mda mfupi atakuwa mbali sana. Jini kisirani imekuwa hit song kama ilivokuwa papa ya gig money mwaka jana.
Umeua sana...
Wimbo wa picha yake ndio ujio mwingine Mbosso kutoka wcb.
Safari hii producer ni mhindi mwenzie Akili the brain, ama kweli producer wa sasa kamtendea haki wimbo una hisia na kunachemistry kati...
Kuna baadhi ya wasanii wa 'hip hop' ambao wamekuwa wakijiita ni 'bora zaidi' na wao wanafaham misingi ya Hip Hop! Kati ya wasanii wanaojiita hivyo ni Kalapina na kundi lake la kikosi cha mizinga...
Wakazi afanikiwa kuzindua album yake, uzinduzi ulifana sana na kuhudhuriwa na watu wengi sana akiwemo mmoja wa waasisi wa Hip Hop bongo KBC
Wa Kwanza Unit na mademu wazuri kibao, wakazi ni mmoja...
Jaman kwa kweli huyu mrembo kanivuruga vuruga sana, yaani mimi nampendaga tu yaani, kisura chake, umbo lake mm hoi taabani. Aliye karubu naye afanye mpango basi nipate hata namba zake, mimi...
Aman iwe nanyi wapendwa
Mimi naomba kujua azam alitumia vigezo gan had akina wema wakapata tuzo
Je, kulikuwa na upigaj wa kula ama kulikuwa na nini
Je, wema ana filamu gan kwa sasa sokon had...
Mwanadada Joyce Kiria ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa kipindi cha Wanawake Live ni miongoni mwa wanawake waliofika leo katika kuitikia agizo la Mh. RC Paul Makonda linalowataka wanawake wote...
Msanii Niki mbishi kutoka tamaduni music ameacha hiphop na
Sasa anafanya bongo flava , Niki huwa anachukuliwa kama mmoja ya wasanii wakali kabisa wa Hip Hop barani Afrika lakini unfortunately...
Huyo Dogo anapiga midundo mitamu Sana, ile midundo yenyewe ya hiphop kama brooklyn, kwa sasa ameshatengeneza hasi 15 ya nash mc maisha ya mitaa nayo ya nash mc pamoja na shujaa nayo ni ya nash mc...
Bila shaka wale wapenzi wa burudani hasa muziki wa Congo watakua wamekumbana na kadhia hii ya kuahirishwa kwa show ya nguli wa burudani Noel Ngiama 'Werrason"iliyokua ifanyike tarehe 6 mwezi april...
wanamwita mbosso khan au mhindi wa kibiti... anaitwa mhindi au khan sababu ya hisia zake za kweli anapoimba akawii kumwaga machozi.
ndio msanii bora kabisa kwenye bongofleva zama hizi anayeweza...
Baada ya watu kuongea mengi kuhusu awa member kutoka yamoto band.
Aslay ameonyesha hakuna lolote baya linaloendelea kati yao.
Haya sasa vijana tupambane tujenge nchi awajakubali kugombanishwa...
USIKOSE: Saa 10:00 jioni ya leo (Aprili 5, 2018), Mkali wa Bongo Movie, ambaye ndiye aliyeibuka Muigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF), Wema Sepetu atakutana na...
Wakuu habarini za mchana!!!!!!
Nisipoteze muda aisee na imani wengi wao tuko vyema.
Ni miezi 10 sasa imepita bila ya kusikia ngoma mpya kutoka kwa Darassa huku ngoma yake ya mwisho ikiwa ni...
Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Church akimpanga muumini apige kelele akiashiria mapepo yanamtoka.
SOUDYBROWN: Mambo ni hiviii
Jamani Mtumishi Wa Mungu Askika Akimpanga Muumini apige kelele...