Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wasaalamu WanaJf popote mlipo..! Nimeona ni bora leo tukaukumbuka ufalme wa Prodyuza mkali bongo na East Africa kwa ujumla ndugu Paul Majani! Ukiachilia mbali Kipaji chake cha kutengeneza midundo...
5 Reactions
70 Replies
11K Views
Sikukuu inaanzia ndani ya #Clouds360: Mfalme atawajibika kujibu kuhusu #MoFaya. Je ni yake? Inapatikana na wapi na nondo nyingine atakazoulizwa na samsasali @hassan_ngoma na@babbiekabae. Wakati...
5 Reactions
55 Replies
8K Views
Hivi huyu dada alimaliza la saba kweli mbona kuandika kwake ni majanga sana ,mtu una followers milion 3 sijui moja kuandika hivi khaa, si ajifunze kama tu kuandika kwa kutumia keyboardy simu ni...
3 Reactions
102 Replies
13K Views
by Chris Mitchell WALTERBORO, S.C. – Craig Mack has risen again. Not as part of the Bad Boy, but rapping about religion to a congregation in a new video from The Overcomer Ministry. In the clip...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili pendwa Husika na kichwa cha habali hapo juu Yule dada muuza nyago ambaye anaumbo tata la kimahaba amedai yeye kwa sasa hafikirii tena uigizaji maana...
2 Reactions
63 Replies
12K Views
Jamani nisaidieni mtanzania mwenzenu,nampenda msanii Rihanna mpaka naumwa,baada ya ebola,ukimwi,mi ndo nafuatia kwa kupenda nitafanyaje?nisaidieni
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ila huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi. Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao...
15 Reactions
155 Replies
17K Views
Kuna huyu 'ukti' mdada anasoma habari za michezo baada ya taarifa ya habari AZAM TWO huyu dada ananikosha sana, anatangaza vizuri sana utangazaji wake naufananisha na ule wa ZUHURA YUNUS wa BBC...
2 Reactions
52 Replies
14K Views
Haki ya Mungu ni shida Bilali akihojiwa live na Sam Misago akana kwamba yeye ni shoga asema ye anapenda wanawake , video yake ilipoanza kucheza tu ikaanza kugoma kwa kweli laana hiii. Anasema...
1 Reactions
108 Replies
22K Views
Mjue Muigizaji na Mwanamuziki Grace B Jones aliyetamba miaka ya 1980's, haswa kwenye muvi za James Bond.....muvi kama A view to a kill, huwa namfananisha na Kenyan Actress, Lupita Nyong'o. GRACE...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Nyie Bongo movie, acheni utapeli. Mlichangisha rambi rambi kwa ajili ya kuwapoza wafiwa ili kipindi hichi cha majonzi ambacho hawawezi kutafuta hizo pesa ziwasaidie kusukuma siku. Sasa nyie...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni record ambayo ni ngumu kuivunja, ni rekodi ya ubora katika utayarishaji wa muziki wa hapa nyumbani!! Kuwa na nyimbo zaidi ya 80% katika chatt za muziki si jambo rahisi kama wengine wanavyoweza...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Kipindi hicho collage boy Second year 2008,nina bonge moja la Afro,hakuna wasap hakuna instagram simu za touch zilikuwa za kichina zina peni yake...ujanja ilikuwa kuban Cd Mp3,au kununua...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Bongo bhana mambo yamekua marahisi saaaanaaaa.... Unaweza ukakaa kuudhania yule dada maarufu kipenzi cha watu anaeaminika ma mamilioni ya watanzania.. Da Mange kwamba ana bifu kuuuuubwa sana na...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
2 Reactions
85 Replies
10K Views
Uganda tulimchukua Zari lakini alisepa mwenyewe,RWANDA tushachukua na Kenya tayari...Burundi subiri kidogo tutakuja huko sio ni MIDUME kutoka TZ
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Aaah enzi hizi tuli-enjoy sana bana
1 Reactions
37 Replies
27K Views
Mzazi mwenza wa msanii Ali Kiba, Hadija Hassan amefungua kesi ya madai dhidi ya msanii huyo baada ya kumtelekeza tangu mwaka 2017. Kesi hiyo imefunguliwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu...
1 Reactions
104 Replies
16K Views
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa...
0 Reactions
96 Replies
18K Views
Aisee nimejaribu kufatilia mapenzi yao kwa muda mrefu lakini nimeambulia patupu. Anayejua aniambie ile couple iliyotikisa kati ya Bi Sandra na kiben ten chake Mr Shamte imefikia wapi? Kwa maana...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…