Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwanamuziki wa Bongofleva, Yammi ametangaza kuachana na mpenzi wake ambaye alimtambulisha hivi karibuni. Tangazo hilo limekuja ikiwa ni wiki kadhaa tangu mwanaume huyo kuonekana katika video ya...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Mtangazaji na mwanamitandao maarufu nchini Tanzania, Juma Lokole, kupitia kipindi cha Wasafi FM, ameanika siri nzito na kuthibitisha kuwa mahusiano ya kimapenzi kati ya waundaji maudhui Kiredio na...
2 Reactions
1 Replies
121 Views
Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amewatolea uvivu watu wanaoisema vibaya familia yake . Esma Platnumz amedai kuwa wengi wanaoisema vibaya familia yake huwaga wanatamani kuwa na...
7 Reactions
41 Replies
743 Views
SNARE - JINSI INAVYOKUWA [Vperse 1] Toka zamani ndoto yako kuwa mwanamuziki / Ukaandika mistari, ukapiga tizi, ukawa fiti / Singo ya kwanza hewani, juu kwa juu ikatiki / Watu bila Ubishi kazi...
5 Reactions
3 Replies
83 Views
ISAYA Yunge, kijana Mtanzania mwenye asili ya jamii ya Wasukuma, ameingia katika hatua mpya ya maisha baada ya kutambulishwa kama mchumba wa Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya, William Ruto...
7 Reactions
13 Replies
622 Views
Msanii maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz, ameonekana kuvutia hisia za mashabiki baada ya kuonyesha ukarimu mkubwa katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya NayaBill. Katika hafla hiyo, Diamond...
0 Reactions
7 Replies
240 Views
Mwenye kiuno bila mfupa Ray C amepiga marufuku kuitwa msanii wa zamani akidai wanaosema hivyo wengi wao wamechelewa kuja mjini. Ray C ameandika ujumbe huu akielezea suala hilo juu ya mashabiki na...
5 Reactions
5 Replies
166 Views
Mziki wa kuusikiliza kupitia phone ni mtamu sana kuliko redio.
6 Reactions
46 Replies
565 Views
Mchambuzi na mtangazaji wa burudani Mwijaku amemlipua vikali Kajala Masanja kufuatia mahojiano yake mapya ambapo alizungumzia tetesi za mwanaye Paula kuchangia ("kushare") penzi na msanii...
4 Reactions
15 Replies
384 Views
Habari, Jana msanii tajika sana nchini Tanzania, Afrika Mashariki na kati na pengine kuliko wote kusini mwa jangwa la Sahara Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, alisaini dili kubwa na...
12 Reactions
66 Replies
11K Views
Buff G - SAA MBAYA Ni wakati wa kuangilia na kusema lakini sio kilio salio katika saa hii ni mapingano Wafaindikao Wazee Serikalini wapi na wapi kijana juzi kahitimu Elimu ya Juu kazi mpaka...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
Kwa sasa kama wakongwe wamepindua meza kwani kila tukio sasa wakongwe wanapanda kupaform muziki wa bongo fleva wa zaman, kwetu sisi age go ni burudani kabisaaa. Tumeona kwenye Tamasha la Miaka 30...
4 Reactions
11 Replies
308 Views
Msanii Harmonize kupitia lebo yake ya Konde Gang ametoa taarifa kuhusu wimbo wake mpya “Beautiful”, baada ya kuondolewa kwenye mtandao wa YouTube. Kupitia taarifa hiyo, Konde Gang imesema wimbo...
0 Reactions
2 Replies
148 Views
Zuchu ameweka wazi kuwa katika kipindi cha ujauzito wake alikuwa hampendi mume wake Diamond Platnumz kiasi kwamba hata akiwa amelala anatamani hata ampige kibao. Kupitia ukurasa wake wa Snapchat...
2 Reactions
22 Replies
230 Views
Sakata la kale limeibuka upya na kuchafua mitandao ya kijamii nchini kufuatia madai mazito kwamba staa wa Bongo Fleva, Harmonize, alianza uhusiano wa kimapenzi na Paula kabla ya kuhamia na kufanya...
3 Reactions
10 Replies
268 Views
Nealy 30 years after Tupac's death,the only man charged in his murder is standing trial. A judge has ruled that Duane"Keffe D" davis 2008 police interview and memoir can be used as evidence...
1 Reactions
0 Replies
53 Views
Walipopanda jukwaani Irene Uwoya, Kajala, Aunt Ezekiel na Jaqline Wolper waliwekewa ule wimbo 'nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe'...kweli baada ya pale nawaona hawa kama wakongwe wenzangu...
8 Reactions
12 Replies
420 Views
Inasemekana kuwa Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez walisaini mkataba wa kabla ya ndoa mnamo Agosti 10, 2026, siku moja tu kabla ya harusi yao ya faragha nchini Ureno. Naamini tulishaletewa...
6 Reactions
12 Replies
255 Views
Chid benz - popompoo pisha [Verse] - 3 This for hood shit girls, you and your fellows / Wakongwe hawaendi na muda, yaani wabishi mpaka kero / Mengi mnayoongea hayafanani nikitokea / Mnashindana...
1 Reactions
2 Replies
77 Views
Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa...
14 Reactions
102 Replies
897 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…