Ujana, mapenzi na ustaa.
Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi...
Professor Silas Lwakabamba, Ni Mtanzania wa kwanza kwenda kufungua Chuo ambacho leo hii kinaonekana kama ni mfano wa kuigwa katika Bara la Africa, yaani ni chuo cha Kigali Institute of Technology...
Kuna watu wanavipaji vya kusimlia. Sauti zao na mpangilio wa maneno yanayotoka mdomoni vinaweza kukufanya usikilize zaidi hata ambacho ukutaka kukisiliza.
Ikiwa kuna watu 3 duniani wenye vipaji...
Jacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi, ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi ambao...
Miongoni mwa matukio ambayo yamezua gumzo ni tukio la Wema Sepetu kuwafukuza nyumbani kwake mastaa wenzake wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper...
Hii Jinsi gani inaonesha watangazaji wetu wanna upeo mdogo.
Katika kipindi cha Mashamsham ya Pwani cha Wasafi FM, Didas akiwa Arusha alipigiwa simu na mtangazaji mwenzake na kumuuliza mlima...
Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa...
Vipaji vipo hapa Tanzania ila kwa sababu ya ubinafsi wa brand za kipuuzi ndio tatizo kama Simba na Yanga.
Huyu dogo leo naangalia tv nikaona niangalie chaneli za mziki namsikia huyo dogo yani...
Anaitwa Alina Kabaeva ni mwanasiasa na mwanamichezo wa zamani wa Russia, mshindi wa medali wa Olympic, picha yenye maua alikuwa anampongeza.
Picha nyingine alikuwa anawaaga wanamichezo wa Russia...
The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie...
Wakuu kwanini Yule mzungu aonekane ndani ya movie
Yeye ni Nani kwenye sector ya utalii?
Ni sahihi Kwa director kuwa ndani y movie?
Kwanini asinge wekwa mtanzania au kkiongoziwa nchi Fulani?
M...
Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es...
Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.
Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za...
Miaka ya 2000 huko ilizuka ghafla couple ya nguvu iliyobustiwa na magazeti ya udaku. Nature na Sintah..
Okei. Mapenzi huota kokote lakini hii combo mpaka leo siisomi ilikaaje kaaje.
Sintah...
Mada inajieleza.
Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake...
Kuna hii ngoma ya miaka kama 12 iliyopita ya Chris Brown ft Dr Dre, haikuwika sana ila bonge la ngoma beat yake naielewa kinoma kama nnavyoelewa I need doctor.
Muziki wa sasa hata siuelewi...