Yupo wapi Professor Silas Lwakabamba Mtanzania Mwanzilishi wa Kigali Institute-KIST | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yupo wapi Professor Silas Lwakabamba Mtanzania Mwanzilishi wa Kigali Institute-KIST

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Josh Michael, Sep 18, 2009.

 1. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  [​IMG]  Professor Silas Lwakabamba, Ni Mtanzania wa kwanza kwenda kufungua Chuo ambacho leo hii kinaonekana kama ni mfano wa kuigwa katika Bara la Africa, yaani ni chuo cha Kigali Institute of Technology KIST, yaani ni Chuo cha mfano kwa sababu ni Wanafunzi wake wanaenda moja kwa moja kwa Community base kuwasaidia katika kufanga vyombo mbalimbali na kuona Rwanda inapiga hatua katika maendeleo.

  Rais Paul Kagame baada ya vita iliyotokea mwaka 1994 aliamua kwenda UDSM na kuwaomba baadhi ya walimu kwenda naye Kigali kufungua chuo hicho katika Taifa la Rwanda, na katika hali ilivyokuwa alichukuliwa Professor Silas Lwakabamba kuwa RECTOR wa kwanza huko na kukuboresha chuo hicho. Lakini Sisi Tunanzisha vyuo vyetu Tanzania na watu hawa wako wapi jamani. Inatia uchungu sana kuona Taifa ambalo linashindwa kuwatumia watu wake na kuonekana sehemu nyingine.

  Yupo wapi Silas Lwakabamba na anafundisha wapi?? Tanzania inakuhitaji sana katika kufanya na kutuimia elimu yako.

  Wadau kama wanajua alipo basi wajitokeze hapa
  CV yake hii hapa chini
  Silas LWAKABAMBA (Chairman of Board of Rwanda Information Technology Authority — RITA & Rector of National University of Rwanda)

  Professor Silas Lwakabamba has been Rector at the National University of Rwanda (NUR) since July 2006. He received his PhD in Mechanical Engineering from the University of Leeds, England, in 1975, and subsequently worked as Head of the Department of Mechanical Engineering, Associate Dean, and Dean of the Faculty of Engineering at the University of Dar-es-Salaam, Tanzania, for 10 years.

  In 1985, Prof. Silas Lwakabamba joined the UN-Sponsored African Regional Centre for Engineering Design and Manufacturing (ARCEDEM), based in Nigeria, as a founding Director of Training and Extension Services. For 12 years, he was responsible for organizing many workshops and training programmes for the benefit of the entire region. It is from this post that Prof. Lwakabamba was called in 1997 by the Government of Rwanda to establish the Kigali Institute of Science Technology and Management (KIST). He held the position of Rector of KIST from October 1997 to June 2006 when he was transferred to the position he currently holds as Rector at NUR.

  Since 1975, Prof. Lwakabamba has been a member of several boards and committees at the national, sub-regional and international levels. These include membership of the Executive Board of UNESCO, African Virtual University (AVU) Board of Directors, Governing Council for Africa of the International Association of University Presidents (IAUP), Chairperson of the Board of Directors of the Rwandan Parastatal telephone company (RwandaTel), Chairperson of the Rwanda Information Technology Authority (RITA), President of the Institution of Engineers of Rwanda, amongst others.

  In November 2001, he was elected a Fellow of the World Innovation Foundation based in UK, in February 2003, he was awarded the UICEE Silver Badge of Honour for Distinguished Contributions to Engineering Education at the 6th UICEE Annual Conference on Engineering Education, held in Cairns, Australia, and in November 2005, he received an Honourary Doctor of Technology Degree from Glasgow Caledonian University in the United Kingdom.

  He has had over 50 articles published in international journals and conference proceedings in the areas of combustion, higher education, science and technology, energy and power production.
   
 2. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu Josh
  Prof alirudi nyumbani kujenga taifa. Baada ya KIST kufanikiwa sana sasa yuko National University of Rwanda (NUR) ndio boss. Bado roho na tabia yake njema iko vile vile. I doubt kama atarudi tena Tanzania
   
 3. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu wangu kuna haja hata serikali yetu kuona na kuwajengea mazoea ya kuona watu kama hawa wanarudi Tanzania na kufanya kazi hapa Tanzania, Sasa Jk anaweza kufanya na kutoa motisha ya kutosha na kuwafanya watu hawa warudi Tanzania na Kujenga Taifa letu Tanzania
   
 4. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu huoni akili zetu wewe na mimi ni tofauti sana na JK? JK sasa hivi anawaza slogan ya kutokea mwakani, hajui maana ya kuboresha mazingira ya kazi badala ya kuita wawekezaji kuja kuiba. Hajui urais maana yake nini.

  Bora Prof. Lwakabamba akae huko ajenge huko ili tujifunze kwa kuona aibu na soni kama tunayo. Akirudi watamwanzia siasa na kumtazama kama wakuja. Uzuri prof ana roho nzuri ya uungwana na utu. Anathamini na kuwapenda sana watanzania, ila mitanzania yeyewe ndivyo ilivyo
   
 5. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mzee inatia huruma sana hata saa nyingine utamani kulia sana kuhusu mambo haya, Kuna sehemu nimesoma kuwa Watu wamekwenda India Kwa ajili ya kuwaomba wahindi waende UDOM kufundisha badala ya kuboresha watu na kupeleka watu wengi zaidi nje kusoma na kuona kuwa Taifa letu linakuwa shupavu, siku niliposoma kuhusu huyu jamaa kutoka kwa Jeneral Ulimwengu inatia shaka sana kuona kuwa sisi Watanzani tupo vipi mkuu wangu
   
 6. Y

  YE JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Karudi kwao Rwanda....
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Akae hapa ili aishie ukuu wa mkoa au mjumbe wa bodi ya Tanesco? Ha hiyo ni nafasi ya upendeleo! Mi naona aende sehemu ambayo atafanya anayoweza kufanya kwa ufanisi mkubwa.Arudi sisi tutakapomaliza siasa zetu na porojo zisizo na vitendo
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana ni Mnyarwanda au? Yes, I get the picture now. Ndo maana Prof Mshana ameenda huyu bwana alikotoka maana hapa alikuwa kama jiwe lililokataliwa na waashi
   
 9. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aliondoka na Professors Baadhi yao pale UDSM na hivyo ni Mtanzania kabisa na pia mimi naona Siasa zetu ndio zinatuharibu kabisa sisi. Tazama hata Dr. Idrissa sasa hivi. Mshana naye alikwenda huko wanalipwa pesa nyingi sana maana baadhi yao wanapata mpka dola 7600 hivi kama mshahara deni ni wakuu wa vitengo huko
   
 10. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Sisi ni mabingwa wa kufuja nguvu za watu wetu.
  hapa USA kuna Maprofesa wa Kitanzania ukiingia ofisini kwao uone wazungu wajipangavyofoleni kwenda kuwaona utashangaa.
  Eti ili uwe mwalimu mzuri Chuo kikuu ni lazima uwe kada wa CCM sivyo wewe ni mchochezi.
  Nadhani Rais wa kuikomboa Tanzania mimba yake bado haijatungwa na wazazi wake bado wananyonya kwa mama zao.
  Kabla hajaja tutapata vikwete kibao waliowachovu kuliko kikwete mwenyewe. Fikiria Emmanuel Nchimbi au Lukuvi wanachaguliwa kuwa marais wa Tanzania! Si wataendesha nchi kama mradi wa mabasi Dar. Tunasafari ndefu kweli.
   
 11. M

  Magezi JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Siyo huyo tu, kuna professor mwingine anaitwa Bisanda. Huyu pia alikuwa UDSM pale materials engineering, akaja kwenda Botswana serikali ya kule ilimwomba aende kuanzisha idara ya materials engineering.

  Alirudi mwaka 2001 kutoka Botswana cha ajabu alipo ripoti pale UDSM wakamwambia ajira yake ilisha futwa labda afanye kazi kwa mkataba. Yeye akamwabia Prof. Luhanga kwamba.....anaona hawamuhitaji ngoja aende kule anakohitajika...na yeye leo yupo Kigali Rwanda anakunja noti kibao.
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  UDSM badala wajenge more laboratories, hostels, classrooms wanajenga mlimani city. Ukiuliza wana kwambia hostels zitajengwa na wawekezaji, yaani serikali ya Tanzania utadhani imerogwa, wanafikiri nchi inaendelea kwa kuwa na wamachinga wa kichina wengi.........jinga kabisa.
   
 13. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ali'cut' na ku'paste' curricula ya uhandisi ya UDSM huko KIST. Kelele za bure.. hakuna cha chuo cha mfano wala nini ... pia tembelea KIST -utakuwa dissapointed.

  Halafu huyu jamaa arudi hali ilishafika saa 11? Kama alipata PhD miaka 35 iliyopita atakuwa amefikia umri wa kustaafu. tuagalie mbele
   
 14. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe Tazama Professor wa Kitanzania ambaye yupo University of New Hemisphere kule, Tanzania kila Kona Tanzania, Lakini mimi nashindwa kuelewa Kwanini Taifa hili Linashindwa kabisa kutumia Watu wake, Napata shinda sana na kuona kuwa sisi ni watu hatari sana katika maendeleo,
   
 15. K

  Kudi Shauri Senior Member

  #15
  Sep 19, 2009
  Joined: Nov 1, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naamini kabisa kuwa Tanzania inahitaji ku sort out its policies on experts in the diaspora. Kwa hivi sasa kuna a lot of hostility wakati maprofesa kama hao wakirejea nyumbani. While such hostility could be partially explained by those who are now running these institutions regarding the returnees as a threat to their positions, the government at least could be more pro active by encouraging the Universities to hire these returnees provided they can prove that they are still academically at the cutting edge. The returnees also should be more modest in their expectations.

  The current Minister of Education was in the diaspora for over ten years and when he returned his colleagues in SUA [including the former minister of higher education] found it difficult to accept him back and he then decided to go into politics. One hopes that there would be a policy review on this issue.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Kama Kingunge bado anadunda mzigo mpaka leo ina shida gani kwa huyu prof? Halafu kama kichwani hajazeeka, nani anayekura hasara? Badala ya kumtumia kwa consultancy kwenye maeneo mengi ya kitaalamu eti tunasema imefika saa kumi na moja.
  Kwenye hii ni TZ zaidi ya uijuavyo.Prof Luhanga alipotoka tu UDSM akaenda kufundisha Uingereza...sasa na yeye sio mzee?
  Nchi yetu bwana...wataalamu ndio wanazeeka, wanasiasa wanazidi kuwa vijana kadri muda unavyokwenda.
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  nadhani hapo mmengalia kwa jicho la karibu, lakini ukifika nchi kama Botswana na Namibia ndio kweli utaamini Tanzania kuna wasomi ambao wanatupwa tu, hizo nchi Watanzania wamezishika katika sector za Udaktari (MD), lecturerz na katika mambo ya Civil eng, na wengi wanauchungu sana wa kurudi nyumbani kuja kufanya kama wanayoyafanya huko lakini wanaiogopa sana siasa ya Tanzania, hizo nchi Kauli ya msomi ni kwanza na kisha za wanasiasa, lakini huku kwetu wanasiasa kwanza kisha wasomi baadae
  tunahitaji second liberation
   
 18. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  U'Kingunge' ktk academics ni hatari mno! Uishie huko huko kwenye siasa. Luhanga alienda kufundisha UK? Check your facts
   
 19. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuna Hatari kubwa sana ya Tanzania kupeteza uelekeo wake katika academia ya Taifa hili Nenda university kibao kuna Watanzania kibao huko wanafanya kazi kila kona Duniani
   
 20. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mambo haya unayosema ni kweli au vipi??
   
Loading...