Mwanamziki wa hiphop Chid Benzi katika mahojiano aliyofanya na Ayo tv ameeleza kuwa chanzo cha yeye kujihusisha na madawa ya kulevya ni mapenzi na wala si muziki kama wengine wanavyodhani. Katika...
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya...
Mwanzo Aristotle alikuwa ni msusi wa wanawake, baadaye akajiongeza kuuza weaving na wigs na wateja wake walikuwa ni mastar wakubwa na celebrities wa Tanzania wa hapo Dar-es-Salaam. Aliupata...
Mke wa mwanamuziki Akon, Tomeka Thiam ameomba talaka baada ya kuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 29.
Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa TMZ, inaeleza mke wa Akon aliwasilisha kesi ya kudai...
Katika ulimwengu wa muziki wa Injili ndani ya Afrika ya Mashariki, jina la Phyllis Mutisya limekuwa likihusishwa na sauti tamu ya kumwinua mtu kiroho pale madhabauni. Mwanamama ambaye amekuwa...
Flora Mbasha afunguka mazito mpaka mengine hayawezi elezeka kuhusu mumewe Mbasha, ni hatari sana nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa...
Alisifika kwa burudani ya nyimbo za injili, akazinguana mumewe na kutengana naye! Akapata mpendwa mpya naamini ametulizwa kutokana na ukimya unaojitokeza.
Majirani tupeni abc zake maana si vibaya...
Vigezo vyangu
A. Mashairi
B. Ujumbe
C. Heshima ndani ya Mashairi
D. kucheza na jukwaa
E. Muda wa Mziki wake kudumu
Hizo index mbele zimetokana na Calculator ambayo imeshusisha umri wa...
innalillah wainna illahi rajiun.
Hatimae leo sheikh wetu , kipenzi cha waumini afrika mashariki amerejea kwa kwa mola wake. Mwenyezi mungu amuwie radhi.
Tunamwomba allah, awape nguvu na subira...
Mbunifu na Mwanamitindo mashuhuri duniani kutoka nchini Italia Giorgio Armani, amefariki dunia hii leo Septemba 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91, Kampuni yake imethibitisha.
Kupitia taarifa...
Hi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi...
Kwa Dunia Tuliopo kutajirika ni easy sana USIWE na uwoga tu, asma juzi alikua na tangazo la crdb marathon ka sikosei, pale analipwa, yule dullah juzi hapa alikuwa na dili na nmb bank wanalipwa...
Kuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017.
Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao...
Mwanamuziki wa Gospel kutoka Ambwene Mwasongwe ametokea hadharani na kuwaomba radhi watu wote walio chukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika jukwaa la siasa.
Ambwene ameomba radhi na...
Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara.
Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba...
Sawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa, na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini, maana kwenye sanaa ni kama alishachemka...
Kifo cha Kibo Marealle kimenishtua sana, hasa kwa kuzingatia kwamba alikuwa bado kijana. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba muda mfupi kabla ya mauti kumfika, usiku huo alikuwa kwenye sherehe...
Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Gloriose Musabyimana, maarufu kama Gogo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 36 nchini Uganda.
Taarifa zinasema alifariki usiku wa Septemba 3, baada...