Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Tukielekea 40 ya Mzalendo nguli. Tumuenzi Kwa kusoma kitabu chake cha My American Experience. U know! Tutakukumbuka daima bro.
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwanamitindi Suellen Carey amejiondoa baada ya ndoa ya peke yake iliyidumu mwaka mzima kutofanikiwa kama alivyopanga . Mwanamitindo huyu mwenye asili ya Brazil anaishi Uwingereeza alishangaza...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Majanga, na wao, wahala! Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria? Kwani wadada wa Tz wana shida gani? Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri Angalia...
12 Reactions
175 Replies
6K Views
KANTE AMTAFUTE HAKIMI. EMMANUEL EBOUE AWE CASE STUDY. Ngolo Kante, nyota wa zamani wa Chelsea na mshindi wa kombe la dunia akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa amemuoa mwana mama raia wa Uingereza...
20 Reactions
107 Replies
6K Views
Rapa na Mwanasiasa, Professor Jay ame-share picha hii mpya na kuonesha maendeleo mazuri ya afya yake baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo mara kadhaa akiambatanisha ujumbe uliowavutia...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Habarini, Miaka iliopita channel ten kuna muugizaji mmoja alikuwa akijulikana kama bwana jumbe, nahisi alikuwa pia kwenye matangazo ya foreplan clinic ya dokta mwaka. Bwana jumbe kiumri ni mtu...
1 Reactions
5 Replies
630 Views
Ukiacha suaka la kuvuta bangi hakuna evidence yoyote kuwa snoop ni muhuni. Amedumu kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 30 na girl friend wake wa tangu college. Yoke very close na baba yake mzazi japo...
37 Reactions
64 Replies
4K Views
Mwigizaji James Earl Jones ambaye alipata umaarufu katika filamu nyingi ikiwemo Field of Dreams, Coming To America, Conan the Barbarian, na The Lion King amefariki Dunia akiwa na umri wa Miaka 93...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtoto wa Tandale, Diamond Platnumz, Mswahili aliyepitia changamoto nyingi kwenye safari yake ya muziki, lakini akatoboa na kuwa nyota mkubwa wa Bongo Flava. Tangu enzi za wimbo wa "Kamwambie"...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie...
30 Reactions
114 Replies
11K Views
Kuna haja That Urgent need to have his videos banned in the country. Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu. Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke...
9 Reactions
185 Replies
15K Views
Katika pitapita yangu kwenye mitandao nikakutana na kichwa cha habari Hamornize Kujaza Uwanja wa O2 Arena. Nikamsikiliza akiongea na akasema amemalizia malipo. Kwa kuweka mambo sawa O2 Arena siyo...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Keffe D (mjomba wa Orlando Anderson) alikiri kila kitu, aliweka wazi hatua kwa hatua kilichotokea Las Vegas usiku wa tarehe 7 Septemba 1996.Hapa kuna kilichotokea: Tupac, Suge Knight na marafiki...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo...
18 Reactions
44 Replies
3K Views
Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana...
19 Reactions
145 Replies
11K Views
Habari zenu wanajamvi. Lunch mmepata? Leo nilikuwa nipo Youtube natazama kipindi cha Salama Na Madam Ritha. Kuna sehemu moja ya mahojiano hayo, Madam Ritha kipindi anajibu swali la mtangazaji...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…