Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii Tundaman amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya kujitosa nusu uchi mtaani akiwakwepa askari polisi ambao walivamia kwake leo asubuhi kwa lengo la kumkamata.... Chanzo cha Tunda man...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Naungana na Ney wa Mitego,kiukweli walter amechoka sana sidhani kama kweli alipewa zile m 50 atakuwa amepewa kama m10 hv then 40 watu wameipiga panga noma sana.
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Vyanzo vya habari; XXL ya Clouds FM na www.bongo123.com. Mwanamuzik wa kizaz kipya Ally Kiba ameweka wazi malipo anayolipwa kwa show moja ya hapa bongo na pia kwa show moja ya nje ya Afrika...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
Kwa yeyote anaejua hiki kipindi cha runinga cha fidstyle cha fid q kuhusu kurushwa tena hewani au ndo kimechnjiwa baharini atujuze..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ikiwa ni wiki chache tangu DIAMOND afuturishe nae WEMA SEPETU AMEFANYA HIVOHIVO.. hii inatafsiriwa kua ni ushindani baridi uliopo kati yao ambao haswa WEMA ndio anaeuendeleza.. hii inaonekana ni...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Kitendo ambacho clouds wamemfanyia diamond(cha kumzimia mziki mara mbili akiwa stegini) sio kizuri kabisa ni cha kumgombanisha na mashabiki wake, kwani mchana wamemtumia vizuri kabisa katika...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Hello Wana JF, mimi ni mshabiki mkubwa sana wa Jay MO yule wa kundi la wateule, huyu jamaa namu-admire sana anavo-flow hata na mesej na creativity ya nyimbo zake ,ukianzia alivoanza na zile...
1 Reactions
28 Replies
11K Views
Gwiji wa gitaa..Alitamba na bendi za African stars,Mchinga sound na nyinginezo... Nakumbuka alipiga solo ktk nyimbo ya JIRANI ya twanga pepeta! Hivi bado yupo?anafanya mziki bado? Namkubali...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
KESI ya kudaiwa kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga vibao Meneja wa Hoteli, Goodluck Kuyumbu inayomkabili Staa wa Filamu, Wema Isaac Sepetu imeunguruma Jumatano iliyopita katika Mahakama ya...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Mashabiki wa Diamond Platnumz hawajaipenda picha yake inayomuonesha akionesha kidole cha kati aka ‘the middle finger’. “Is this the right finger that you are talkin about roma2030 …?”...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari za jioni ndugu jamaa na marafiki naombeni msaada kujua hivi bwana vengu WA original comedy aliyekuwa mgonjwa Sana yu wapi anaendeleaje?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza na Kigoma ndiyo imepewa nafasi ya kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya wasanii ambao watakaopanda kwenye stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya Kigoma. Listi...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nikiwa kama mpenzi wa burudani , hasa muziki wa dansi nimejisikia vibaya baaada ya kumuona huyu mzee leo chanel Ten, akiomba msaada wa watanzania kumchangia chochote kwa tamasha ambalo litafanyika...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
Kama haukupata hii Jide a.k.a Komando aliamua kurudi studio kufanya vidio ya Yahayakwa mara ya Pili baada ya kuona vidoti usoni ambavyo hakuvipenda na hivyo kutafuta mtaalam wa masuala ya Urembo...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwanza ni kupongeze kwa kuanzisha project ya kufufua na kuibua vipaji vya vijana hasa walio kosa fursa. Na BSS(bongo star search) ilipofikia lazima tukupe pongezi kwa jitihada mahususi maana...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
diamond na roma
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Alipozungumza na Zembwela wa East Africa Radio katika kipindi cha Super Mix, Mwanadada na mwanaharakati wa haki za wanawake anayetumia kipindi cha runinga almaarufu WANAWAKE LIVE, Bi.Joyce Kiria...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
wandugu kuna kabinti kameimba nyimbo moja hivi na juliana yule wa uganda. kama umewahi ona video yake wako wawili na juliana..wimbo unaitwa "mpita njia" mimi nimemzimia jaman mwenye email yake au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…