Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,462
Kwa yeyote anaejua hiki kipindi cha runinga cha fidstyle cha fid q kuhusu kurushwa tena hewani au ndo kimechnjiwa baharini atujuze..
Hawa watu sio professional wanaibuka na plann ya kipindi halafu contents anazitafuta leo kipindi kesho kutwa matokeo yake kipindi hakifikishi hata miez 6 kwisha.
season 2 itakuja,