MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto, Rahma Abdallah (20), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo...
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna...
Me ni msikilizaji mzuri wa Radio Magic Fm, hasa kipindi chao cha Asubuhi.. Nilikua navutiwa sana na Uchambuzi wa Kibwana Dachi.. Ila sasa wanampa nafasi finyu sana, tofauti na mwanzo...
Daaaa pamoja na kwamba kiasi flani mnawainua wasanii wa Hapa nyumbani ila hampo sawa kwa msanii Lady j dee! kama haujanielewa sikiliza clouds fm wiki ijayo kwenye wimbo wa BEN POL. Jikubali pale...
Katika sakata linaloendelea sasa kati ya Mwanadada Dayna ,kusema kwamba kaibiwa Mdundo na Diamond, Mwanamuziki mwingine wa Bongo fleva kwa jina Baba levo ameibuka na kusema yafuatayo kwenye...
For the past two years kama sikosei since show ya kijanja inayohusu mastaa mbalimbali apa bongo kuanzishwa,naizungumzia MKASI show.
Kilichonisukuma kuandika hii thread ni jinsi mwanadada...
Leo gazeti la FAHAMU limeandika "CHEKA APEWA MKANDA FEKI"
Mkanda alioutwaa hautambuliki popote duniani
Bondia aliyepigana nae hajawahi kutwaa taji lolote duniani
Makanda wa Super midleweight...
Tupo kwenye robo ya tatu ya mwaka
2013. Mwaka huu muziki wa
Tanzania umeendelea kuonesha
mapinduzi makubwa kuanzia uwepo
wa show nyingi, malipo makubwa
kwa wasanii, wasanii kuwekeza zaidi
kwenye...
Habari kutoka kwa chanzo cha uhakika zinadai
kuwa msanii wa zamani wa kundi Daz Nundaz
na hitmaker wa Figure Namba 8′ Daz Baba
amechanganyikiwa kutokana na hivi karibuni
kuonekana akifanya...
Uyu ndio rapper mkali kwa sasa Bongo anaitwa MABESTE........
Ni mkali wa kuchana, ana mastairi ya kufa mtu, ana swaga na kila kitu cha kuitwa best rapa kwa sasa in TZ.
Anatokea BHITZ...
habari wana jamvi ni matumaini yangu wote wazima na mnaendelea vizuri na mapumziko weekend hii,nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa tasnia ya muziki wa hip hop na bongo fleva kwa kipindi kirefu na mengi...
Mwanamuziki saida kalori na mwenzake papa kishaju wamepata ajali mbaya muda mfupi ulipita katika mlima wa kashura wakati wakipita mitaani kunadi onesho lao lililotarajiwa kufanyika leo katika...
Nikiwa napekua pekua my old docs nimekutana na gazeti la Tabasamu. Japo limechoka saaana nimejikuta nalisoma lote na hasa hadithi-picha ya Bodigadi.
Please, aliye na namna ya kunisaidia kupata...
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin stayle mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n style ambayo imetokea kupendwa...
Supastaa wa mchezo wa kifanyana matuzi kwenye tv Feza Kessy anasema kasahau kiswahili kwa kukaa miezi mitatu kwenye danguro la BBA.
Upuuzi mtupu ni sawa na baharia mmoja alirudi baada ya kukaa...
Wakuu. Taarifa za uhakika kutoka Jikoni.
Wakati Cloudsfm wakiendelea na msimu wa fiesta twen zetu mikoani kigoma, na tabora taarifa za kuaminika ni kwamba Jide Jay Dee amepata udhamini kutoka...
Kwa wale waimbaji au watangazaji wa redio,, kuna kitu nataka kuwashauri(baadhi yenu)...
Kabla hujaimba au kutangaza, hakikisha lugha yako iko vizuri. 7bu lengo lenu ni kuelimisha,basi elimisheni...