The Richest Drug Dealers:
#20 Frank Lucas Net Worth $52 Million
#19 José Figueroa Agosto Net Worth $100 Million
#18 George Jung Net Worth $100 Million
#17 Nicky Barnes Net Worth $105...
namshukuru aliyelileta jukwaa na sote kupata nafasi ya kuelezea na kushare idea zetu,naanza hivyo kwa leo na amani iwe nanyi wote wanajamvi naanza kama ifuatavyo.CRAZY GK nimeanza kumjua kitambo...
Kumekuwa na malalamiko ya wasanii wengi kulalamika kuibiwa nyimbo zao na msanii diamond platinum, alivyotoa "mbagala" kuna bwamdogo aliyeimba "tandale " alilalamika kuibiwa hiyo nyimbo,alivyotoa...
i would like to know the good chill out places to hang out with family,fiancee,homies and buddies on weekends,during holidays,vacation etc.
these place should be highlighted with unique...
Mama mzazi wa marehemu albert mangwea amesema kuwa amepewa hela na mwanafa b4 arobain ya mwanae kupita. amepewa 3 milions. conglats to HAMIS for keeping ur promise. sources,mwananchi,bongo5.com na...
chiaiiiiiiiiii.....
kutoka kwa j martin wimbo wa oyoyoo
haipooo aghaaa haipo
kutoka kwa juma nature wimbo haipotei
style ya kucheza ya wimbo wa hakunaga wa sumalee
Watanzania tuwe tunam-crush mtu positive vitu tunavyoongea humu ata mwenyewe hata ona la kujifunza and still mnalalama musiq industry ha-improve,most of you ni jealous yani siku hizi wanaume...
MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto, Rahma Abdallah (20), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo...
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna...
Me ni msikilizaji mzuri wa Radio Magic Fm, hasa kipindi chao cha Asubuhi.. Nilikua navutiwa sana na Uchambuzi wa Kibwana Dachi.. Ila sasa wanampa nafasi finyu sana, tofauti na mwanzo...
Daaaa pamoja na kwamba kiasi flani mnawainua wasanii wa Hapa nyumbani ila hampo sawa kwa msanii Lady j dee! kama haujanielewa sikiliza clouds fm wiki ijayo kwenye wimbo wa BEN POL. Jikubali pale...
Katika sakata linaloendelea sasa kati ya Mwanadada Dayna ,kusema kwamba kaibiwa Mdundo na Diamond, Mwanamuziki mwingine wa Bongo fleva kwa jina Baba levo ameibuka na kusema yafuatayo kwenye...
For the past two years kama sikosei since show ya kijanja inayohusu mastaa mbalimbali apa bongo kuanzishwa,naizungumzia MKASI show.
Kilichonisukuma kuandika hii thread ni jinsi mwanadada...