Ndugu wanabodi hao jamaa niliowataja hapo juu wana akili za kushangaza sana, mwanzo walikuwa wakiambiwa lisu yuko pale kwa kuonewa tu walikuwa wakali na kusema iache mahakama ifanye kazi yake...
Maswali ambayo hayajaulizwa hadi sass
1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje?
2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi?
3. Je ni...
Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya...
Mtu anaenda hospital labda ana shida ya kukohoa au shida nyingine ya mfumo wa upumuaji, daktari anamuandikia Azithromycin au Azuma kama tunavyoita huku mtaani,kwa sababu ni dawa nzuri sana ya...
Tanzania tuna vijana wengi wenye mitaji na wanaojua kufanya biashara. Tatizo mara nyingi si mtaji, bali ni namna tunavyoutumia mitaji yetu.
Fikiria Kijana ana Sh milioni 10, 20, 50 au 100, mara...
Heshima sana wanajamvi,
Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche.
Ni kawaida katika medani za siasa...
Kwa wale wafanyabiashara mnaokuja kujumua mbao wilaya ya Njombe ningependa kuwataarifu juu ya mabadiliko ya ushuru na kodi ya TRA
•Kwasasa wilaya ya njombe wanacharge 3% ya thamani ya mbao zote...
Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa
Mndeme amekuwa ofisi ya Katibu Mkuu na alipelekwa bungeni ofisi ya KUB
Kimsingi, Wakili ana wajibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.