Hola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia...
Ukipokea comments za namna hii, ungejisikiaje?
Watu wengi hutumia komenti kama sehemu ya utani lakini je, ni wakati gani utani hugeuka kuwa ukatili mtandaoni? Ni pale kauli yoyote inapogeuka...
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku...
"Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo.
Ubinafsi umeshamiri, ufujaji umeshamiri. Na karibu misingi yote ya maadili hakuna anayeihangaikia tena. Ni...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amemjibu Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu hali ya miundombinu ya barabara nchini, akisema bado...
Rafiki yangu jana alinipigia simu, Akiwa na wasiwasi mkubwa. Ikabidi niulize shida ni nini akasema maisha yamekuwa magumu upande wake ikabidi aombe kazi, akatuma Maombi kadhaa kwenye mahotel...
Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia...
Habari
Hii hapa ni list ya video vixen waliowahi kutamba zaidi Tanzania tangu nimejua ABC kuhusu muziki..
1. Binti kiziwi by z Anto
2. Tinda tine; msanii simjui ila ni mganda na ndo mwenye wimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.