Kuna shida kubwa sana za kimaadili ya kiutumishi hasa kwa hawa maaskofu wa Karne ya 21, wanajiona wao ndo wamebeba siasa za nchi wanaona wao ndiyo waamuzi wa kisiasa, wamesahau kuwa wao ni wadogo...
Askofu Musomba, akiwa kwenye homilia amehoji mambo mengi muhimu:
1. Amesema, zamani mtu akifariki watu walikuwa wanahuzunika na kulia sana, imekuwaje sasa, mtu anakufa, watu wanashangilia...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuwaomba Watanzania tuacheni kuwa na wivu wa kike!, kumuonea wivu mtu mwenye myota yake, bahati yake, kismat chake, ambaye pia ni mwenye nacho, anapoongezewa!. Kama...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume...
Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya...
Wadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.
Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.