Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi...
Wengi wanapenda Kudai:
"Yesu hajawahi kusema waziwazi kwamba yeye ni Mungu."
Kisha wanachukua vifungu vichache kama:
• "Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake."
• "Siku ile na saa ile hakuna...
Umemsikia Mwabukusi?
Let me be brief.
Anasema Samia na genge lake ni Wazanzibari.
Hawapaswi kujimilikisha mali za Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema atamchukulia hatua Jaji Fahamu Hamidu Mtulya kwa kumfikisha kwenye Kamati ya Nidhamu, akidai kuwa hawezi kukubali...
Ilham Omar ni mbunge muislamu ndani ya Congress akiwa ni miongoni mwa wabunge waislamu kupitia mipango haramu ya Muslim Brotherhood (MB)ya kuchukua taratibu tamati ya kuendesha serikali ya...
Watu wamekamatwa,wapelekwa Central Kwa kusema Samia anaumwa.
Na sasa,hii ni confirmation kwamba Samia anaumwa.
Kawaomba wananchi wamuonbee Samia.
Wananchi wanalalamika, wanasema waombe nini wakati...
Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni CCM, bali itaangalia wewe ni threat kiasi gani kwa watawala.
Tume inaenda kuja na kisasi kwa wanasiasa, kisasi kwa wafanyabiashara...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji...
Kwenye tangazo la ajira za utumishi wameweka kigezo cha ATLEAST level 2 Vocation Training.
Ukiweka cheti cha level 3 Vocational training wanakusoma upo over qualified wakati tangazo la msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.