Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wa Tanzania 🇹🇿 hili swala la Nchimbi lililosimamisha nchi tafsiri yake imekaaje? Kuna maswali najiuliza hapa Naomba ku share nanyi Hawa wafuasi waliojitokeza kumsifia Nchimbi na kumuona shujaa...
5 Reactions
29 Replies
94 Views
Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu...
7 Reactions
70 Replies
690 Views
Familia ni muhimu. Cc Seran
9 Reactions
84 Replies
271 Views
Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kuendelea kuitumikia Imani yake mbele ya umma kama kuendelea kwenda kanisani, misikitini au kwa waganga kulingana na imani yake ? Au anakuwa anapelekewa padri...
2 Reactions
6 Replies
70 Views
Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema...
9 Reactions
10 Replies
165 Views
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia...
3 Reactions
6 Replies
62 Views
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama...
14 Reactions
175 Replies
1K Views
Zoezi la maswali ya dodoso kutoka kwa Jamhuri kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, litaendelea asubuhi hii Agosti 28, 2026 huku likitarajiwa...
12 Reactions
114 Replies
3K Views
Famahamuni haya fika. Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku...
75 Reactions
156 Replies
2K Views
Acha marafiki fake waende Mwache muigizaji aende, Mwache kausha damu aende. Ziache tabia mbaya ziende, Acha past yako iende, Acha kazi isiyo na hadhi iende. Acha "wewe" yule...
0 Reactions
1 Replies
12 Views

FORUM STATS

Threads
2,085,406
Posts
56,041,487
Back
Top Bottom