Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Chakula ambacho kokote uendapo ndani ya mipaka ya nchi yetu utakipata. Kiwe chakula cha asili na siyo chakula kilicholetwa na wahindi, wazungu au wageni wengine hapa nchini. Kwangu mimi nadhani...
3 Reactions
37 Replies
38 Views
Je, ni swala la Genetics au nini? Au wanazaliwa na ujinga kichwani?
10 Reactions
93 Replies
308 Views
Hamjambo! Bado najaribu kutafakari maamuzi yale makubwa zaidi yenye kuumiza zaidi. Sifikirii kwamba kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kutoa maamuzi ya shoot to kills. Kimedani naona kabisa...
12 Reactions
115 Replies
1K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
136 Reactions
435K Replies
16M Views
Wajomba, Mambo yanazidi kuwa moto kwenye muziki wa Bongo Fleva! Producer Mr T Touch ameendelea kufanya high pressing kwa Zombie S2Kizzy, huku akizungumzia madai yanayomhusisha Diamond Platnumz na...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Biblia katika Luka 3:23 inasema Yesu alianza huduma yake akiwa na miaka thelathini (30). Katika hiyo miaka yote alikuwa wapi na anafanya nini ? Hii historia yake haijaweka kwenye Biblia. Ni...
3 Reactions
36 Replies
88 Views
Wakuu, katika dodoso zangu, nimejiridhisha kuwa, watanzania wengi wapo kwenye kipato cha elfu 10, 15, 20 kwa siku. Nimebahatika kupita kwenye haya makampuni ya mabilionea wa nchi hii, mishahara...
6 Reactions
20 Replies
107 Views
I knew something was wrong when my husband’s mother called me to discuss the family celebration and ended the conversation by saying, “Please, don’t take this the wrong way, but we would prefer if...
7 Reactions
65 Replies
476 Views
Tunaelekea wapi ndugu zetu. Watu wamechachuka na mambo haya duniani kote. Wafadhili ndio vinara na tunavyopenda misaada tutapona kweli?
5 Reactions
121 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Binafsi nilikuwa na ndoto ya kuwa rubani. Ila kwenye harakati za maisha nimepitia kazi nyingi pamoja na kuwa mgambo wa jiji, nimekimbizana sana na machinga. Hakuna kozi ya ndege...
5 Reactions
34 Replies
175 Views

FORUM STATS

Threads
2,111,015
Posts
56,531,429
Back
Top Bottom