Ni kanuni zipi ya kifedha huwa zinakusaidia sana katika kufanya saving na kutumia vyema kila fedha unayoipata?.
Uzoefu wako huenda ukamsaidia mtu mmoja mahali katika kufanya saving na matumizi...
Habari za wakati huu wapendwa, mimi naitwa PENDO GERVAS KALILO. Nilizaliwa mwezi Septemba mwaka 1993, Kahama. Kwa sasa ninamtafuta baba yangu mzazi ambaye anaitwa GERVAS KALILO. Sijawahi kumuona...
1: Ujuaji na kujifanya unajua elimu ya fedha. Kama zilivyotaaluma nyingine elimu ya fedha huwezi kuijua automatikali. Unatakiwa ujifunze in/out.
2: Akili kutawaliwa na Mitazamo ya kijadi. Nenda...
Wazee wa aina kama Mangungu, Aden Rage, Mzee Dalali, muda wenu wa kuiongoza Simba SC umeisha. Tunawashukuru sana kwa kuifanyia klabu mambo makubwa kwa wakati wenu. Sasa ni muda wa Simba kuongozwa...
Mbowe akiwa Chadema alifanya sehemu yake akamaliza kama Nyerere, Maalimu Seif, Magufuli walivyofanya sehemu zao kuvisaidia vyama vyao kwa hali na mali, wakaondoka na kupumzika kwa amani.
Mbowe...
""Hukumuni kile mlichopangiwa muhukumu""
----------------
Hii ndiyo kauli aliyoitamka pale mahakamani je,kauli hii haikuwa ni fedhea kwa mahakama zetu na vyombo vya haki?
Msaada wa kisheria...
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda (Muhoozi amewahi kutamka wazi M23 ni kaka...
Katika video hiyo, afisa wa polisi anatoa taarifa rasmi ya kukamatwa kwa gari namba T 333 ETJ ambalo ni aina ya Toyota Cruiser ya rangi nyeupe baada ya kutiliwa shaka na kukimbia kwa kasi huku...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya wamewapiga marufuku wanasiasa kutoa hotuba za kisiasa katika makanisa yote nchini huku wakionya dhidi ya mapendekezo ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.