Ni kanuni zipi ya kifedha huwa zinakusaidia sana katika kufanya saving

Ni kanuni zipi ya kifedha huwa zinakusaidia sana katika kufanya saving

Atomic Radiation

New Member
Joined
Sep 8, 2026
Posts
3
Reaction score
3
Ni kanuni zipi ya kifedha huwa zinakusaidia sana katika kufanya saving na kutumia vyema kila fedha unayoipata?.

Uzoefu wako huenda ukamsaidia mtu mmoja mahali katika kufanya saving na matumizi sahihi ya fedha zake.
 
Kunakili matumizi yooote hadi makato ya miamala😂

Ukiweza kunakili kwa muda wa takribani miezi mitatu hivi utaona udhaifu wako wa matumizi ulipo.
 
Kuzielekeza kwenye uwekezaji na kuishi chini ya kipato..!!
 
Back
Top Bottom