Kyaiyembe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 1,706
- 665
Hata nikiyajua yana maana gani kama hayatumii kwa maslai ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?.Tatizo lako hujui madaraka aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hata nikiyajua yana maana gani kama hayatumii kwa maslai ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?.Tatizo lako hujui madaraka aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivi ulivyovitaja kama vipo katika kiwango kinachoridhisha nakuunga mkono.Wewe unajuwa maana ya "kusaidia wananchi"? unafikiri barabara, afya bora, vyuo vikuu, vyote hivyo sio kusaidia mwananchi. Mijitu mingine inafikiri kusaida mwananchi ni kumwambia chukuwa hizi pesa weka mfukoni.
Mbona Mzee Mkapa hakukopa yeye alizipata wapi hela za kutekeleza hayo ? Hapo kwenye rangi Nyekundu Chizi ni yule aliyeingia madarakani akaanza kugawa mabilioniWewe unajuwa maana ya "kusaidia wananchi"? unafikiri barabara, afya bora, vyuo vikuu, vyote hivyo sio kusaidia mwananchi. Mijitu mingine inafikiri kusaida mwananchi ni kumwambia chukuwa hizi pesa weka mfukoni.
Hivi ulivyovitaja kama vipo katika kiwango kinachoridhisha nakuunga mkono.
Lakini kote huko kama si migomo basi ni matatizo matupu!.
FF pamoja na unazi wake wa kijinga kwa ccm , yeye ni kichwa huwezi kumlinganusha na huyo Zomba kilaza Wa kutupwa na elimu yake hiyo fake ya kudesa.
Babaraba = 11,000 KM wakati wa Kikwete, kabla yake kwa wote pamoja na mkoloni 6,000
Afya - 58.2 Years life span ya Mtanzania wakati wa Kikwete, kabla yake miaka 45 Nyerere, 48 Mwinyi na Mkapa.
Vyuo Vikuu - wanafunzi zaidi ya 300,000 kwa mwaka wakati wa Kikwete. Kabla yake, hata 100,000 hawafiki.
Vipi?
Babaraba = 11,000 KM wakati wa Kikwete, kabla yake kwa wote pamoja na mkoloni 6,000
Afya - 58.2 Years life span ya Mtanzania wakati wa Kikwete, kabla yake miaka 45 Nyerere, 48 Mwinyi na Mkapa.
Vyuo Vikuu - wanafunzi zaidi ya 300,000 kwa mwaka wakati wa Kikwete. Kabla yake, hata 100,000 hawafiki.
Vipi?
Na usishangae kama utachunguza ukagundua kuwa zaidi ya 50% ya hiyo yote imetengwa kwa ajili ya afya za wa-Tz wasiozidi 1000 kati ya 40+milioni tunaoishi kwa sasa!Hivi nilikuwa naota ama nilisikia vizuri kwamba Tanzania inasifika katika Africa kwa kutenga 10% ya Budget kwenye Afya kulingana na MDGs?
Ni mtetezi wa magamba humu jamviniMmemaliza au bado? nangoja mmalize kubishana nyinyi wenyewe kwanza, mkimaliza nijulisheni.
Yanayohusu elimu tayaache maana nikikuuliza credit zanazotumika kwa sasa tutabishana Japo mapinduzi katika elimu Kikwete amedandia badala ya kuimarisha misingi iliyokuwepo.
Kuhusu life span hii ni ya kisayansi na propaganda nyingi nayo tuiache!.
Nakutaka uthibitishe barabara maana hazifichiki wala kuitaji utafiti.
Ziko wapi maana hii ni 2012 usiniaminishe ya 2015, hii ni kuhesabu watoto kwa binti unayemchumbia.
zomba ni nani?
Tazania nzima hakuna mahali leo hakuna mradi wa barabara uliokamilika au unaoendelea. Kazi motomoto. Uliza Singida vipi? kuanzia za mitaani mpaka za Mkoa, uliza kokote uendapo Tanzania hii, Na hiyo wala haina ubishi.
Eti kisayansi kwani kabla ya Kikwete walikuwa hawaijui hiyo sayansi?
Elimu inajionesha wazi wazi kuwa leo inapanda kuliko ilivyokuwa miaka 8 tu nyuma kabla ya Kikwete. Kuanzia shule za msingi, sekondari, vyuo vya ufundi, vyuo vikuu hakuna aliyefanya zaidi yake.
Huyu ukisikia anasema kikwete kajenga barabara anajumulisha zilizokarabatiwa zile regular maintenance.Zoma hiyo si round about ya clock tower Arusha ina lami tangu enzi au?nayo ni sehemu ya hizo kilometre
Huyu ukisikia anasema kikwete kajenga barabara anajumulisha zilizokarabatiwa zile regular maintenance.
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.
Kikwete = 11,154 KM of paved roads.
Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.
Zoma hiyo si round about ya clock tower Arusha ina lami tangu enzi au?nayo ni sehemu ya hizo kilometre